USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Soma andiko majibu utayapata huko...
Mtu nlonaye kweny mahusiano tayr ana kinga...
Sio kila HPV italeta cancer πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Stak kuzama huko deep naishia hapa tu
 
Kuonesha namna jamii forum imekusaidia ndo uoneshe mapumbu yako
And you dare calling this courage!!
Utambue tu ilo pumbu litabaki mtandaoni siku zote
 
Soma andiko majibu utayapata huko...
Mtu nlonaye kweny mahusiano tayr ana kinga...
Sio kila HPV italeta cancer πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Stak kuzama huko deep naishia hapa tu
Vuta vuta muda kidogo, kuna ndugu yangu aliwahi kua kitombi balaa akapigwapigwa na magonjwa ya zinaa sasa hivi anapata watoto wanaumwa magonjwa hayaeleweki acha tu yaan sema nini hongera na pole kwa kupona mkuu
 
Na vip ulikuja kugundua au kuhisi nan aliyekuambukiza?
Kumjua excatly ni fulan hapana kwakweli.. kutokana na muda pia.. unajua mtu wa kwanza kushiriki nae tendo alkuw mpya kama mimi.. and skuwahi kuwa na tabia ya kuw na wanawake wengi, nlivotemana na wa mwanzo kabsa nkawa na mahusiano mengine ambayo yalidumu kwa zaid ya miaka 5 so hapo kujua ni nan alkuw ana maambukiz ya HPV ilkuw ngumu... NoTe nmekuja kugundua kam nina warts 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…