Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warts Remover Ointment
Pole sana sasa hivi angalia shimo unaloingia hakikisha umewasha tamaa na ukiona namna gani kula unyoya
Huyo unaemuonesha rungu Miss Natafuta anatafuta kweli atakusaka umkamie, mimi ngoja niishie hapa ukipata lingine fanya hivi hivi sasa ufanye mpango wa gonjwa lingine hatari hatari kulisakia dawa yake anza na GonnoAsante mkuu
Soma andiko majibu utayapata huko...genital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.
mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.
Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.
umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.
it's over buddy acha kuusambaza
Hilo duka wanapouza hii tube lianitwaje?,na lipo wapi?Imeishaaa
Kuonesha namna jamii forum imekusaidia ndo uoneshe mapumbu yakoBroh hili andiko ni la kushuhudia tu namna jamii forums ilivonisaidia kupona huu ugonjwa niko poa kabisa shwariiiiiiiiiii kabisa yaan nimepona tangu mwez wa 8 mwaka jana hakuna hata alama ya hizo ndude
Brothe acha tuuu hadi napost hvo ni furaha ya kuishinda hiyo battle... nimepona mzma kabs
Vuta vuta muda kidogo, kuna ndugu yangu aliwahi kua kitombi balaa akapigwapigwa na magonjwa ya zinaa sasa hivi anapata watoto wanaumwa magonjwa hayaeleweki acha tu yaan sema nini hongera na pole kwa kupona mkuuSoma andiko majibu utayapata huko...
Mtu nlonaye kweny mahusiano tayr ana kinga...
Sio kila HPV italeta cancer 😅😅😅😅
Stak kuzama huko deep naishia hapa tu
Kumjua excatly ni fulan hapana kwakweli.. kutokana na muda pia.. unajua mtu wa kwanza kushiriki nae tendo alkuw mpya kama mimi.. and skuwahi kuwa na tabia ya kuw na wanawake wengi, nlivotemana na wa mwanzo kabsa nkawa na mahusiano mengine ambayo yalidumu kwa zaid ya miaka 5 so hapo kujua ni nan alkuw ana maambukiz ya HPV ilkuw ngumu... NoTe nmekuja kugundua kam nina warts 2021Na vip ulikuja kugundua au kuhisi nan aliyekuambukiza?
Fake ID mzee kwani kaweka pumbu yako si pumbu yake au amekutombea mkeo?Kuonesha namna jamii forum imekusaidia ndo uoneshe mapumbu yako
And you dare calling this courage!!
Utambue tu ilo pumbu litabaki mtandaoni siku zote
Fake ID ndo inajustify kupost utupu?Fake ID mzee kwani kaweka pumbu yako si pumbu yake au amekutombea mkeo?
Sema una mashine 😝kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever