Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Haleluyaaaaaa!ulilazimishwa ubaki kwa miungu migeni
 
Murtadi adhabu yako ni kifo , hakika utakufa na kifo ni adhabu pekee ninayostahili kukupa tukikutana.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Itakuwa imani yako ya ovyo sana kuliko imani zingine.
Hii imani haina tofauti na ya wachawi, majini, mapepo n.k ambapo ukiondoka adhabu yao ni kifo.

Yohane 8:7​

Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.”
 
Sawa Hoffenheim hii timu iko vizuri kweli msimu huu

Vipi lakini kaka Yanga leo anatoboa ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwani sisi mabudha hatutaki amani? Tena tunaogopa kuua hata sisimizi🙏
 
Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😴😴😴😴. Hii ni story ya kweli kbsa
Kuna siku nilipanda gari. Muislam (shekh) alikuwa ndiyo anatoza nauli. Natoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Ni Noah (private). Nikauliza nauli, akaniambia nauli ni sawa na basi ( kutoka sehemu nilipo mpk kufika kwa basi ni 7,000).
Tumeenda basi nikampa hela 10,000 najua atakata 7,000. Namuomba chenji anang'ang'ania 10,000 yote. Huwa sipendi kubishana na mtu.
Tukaanza kuzozana, akadai ni 8,000. Nikamwambia poa nipe hiyo 2,000. Tumekaribia naona mtu anaanza kuswali (dua). Nikaona haya ni maajabu, huyu huyu aliyetaka kunidhulumu hela anaswali? Nikacheka kimoyo moyo, tembea uone.
Siku narudi, nikauliza nauli nikaambiwa 7,000 ni coastal nzuri kuliko Noah tena ina TV ndani. Nimefika kwa amani kwa 7,000 ila yule shekh alitaka kunidhulumu.
Kuna sehemu nafanya kazi, shekh na kanzu yake anakunywa chai, hata kusema karibu chai ile ya kinafiki hapana. Kumbuka hapa ni nyumban kwa mtu nafanya kazi.
 
Acha na dini za ovyo ni bora kuwa pagan.
 
Sawa galatia
 
religion is new opium in Africa
wapumbavu hujiona ni bora mbele za Mungu
 
Ila waislam wengine hua ni wa wapi? Mimi wazazi wangu ni waislam safi. Nilikua muislam ila nilibadilisha dini. Sijawahi kufukuzwa wala kutishiwa kufukuzwa kwetu.

Upendo na ubaguzi hauna dini ni tabia za watu wenye roho nzuri na mbaya respectively. Unambagua mtu utafikiri mbinguni utaenda naye au kama anaenda motoni mtachomwa wote. Kila mtu ataubeba msalaba wa kwake peke yake.
 
Samahani mkuu Murtadi ndio nini?? Ni imani ya aina gani??
 
Hao hawajafundishwa upendo , sisi wakristo ndo tumefundishwa upendo, wala hakuna haja ya kuwahukumu maana lait wangekua Wanajua hata robo ya uzuri wa kristo
Yaan kwenye swala Hilo alilokosea sisi wa kristo ndo tunakosea mara 7,
Nikikutana mtu anaemjua kristo alafu mwizi, mla rushwa ,mzinzi huyu ndo anapaswa ahukumiwe
Ungemuachia hata hyo buku mbili na umpige INJILI ya kristo [emoji4]
 
1. Uzuri huko tunakoenda baada ya kufa, hakuna mtu anayejua
2. Kwenye ridhiki anafanikiwa yyte hata muabudu sanamu
Ndiyo ujue Mungu si mwanadamu.
 
Acha kufananisha maamuma na waislamu wewe.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Huyu inaonekana alikua ameshakua Murtard adhabu yao ni kifo, naona mateso yali muanza mapema tu kwa hicho kitendo......baba mzazi alikua sahihi kama kweli ulikua Murtadi na mimi siwezi kukutafuta tena.
Samahani mkuu Murtard ndio nini?? Ni imani ya aina gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…