Ushuhuda: Nilishinda njaa siku 3, nikaanza kuokota vyakula barabarani, nikashikwa kwa uzururaji

Ulikuwa hujaiona misikiti, au huzijuwi nyumba za Waislam?

Hakuna msikiti au Muislam atakunyima kula, siku nyingine ukisikia njaa, jitose msikitini tu uwaambie Waislam shida yako, utakula mpaka ukitazame macho chakula.

Hivi unaishi Tanzania au wapi?
Alitoka kwenye Uislam na kuingia kwenye Ukristo.
 
Pole sana ndugu. Ni jambo la kumshukuru Mungu sana na kumtolea sadaka kwa kukunasua kwenye dhiki. Ila fahamu kuwa ukiwa na changamoto, ongea na watu wengi, hutakosa msaada (a problem shared is half solved)

Pia jitahidi sana ukarekebishe mahusiano na wazazi wako, yajijekukuta makubwa zaidi ya hayo. Wazazi wetu ndio miungu wa duniani.

Kila la kheri.
 
Mimi kwa umri wangu hu sijawahi kuona shoga live na wasikia tu kwamba wana makanisa yao, na baadhi ya makanisa ya RC mapadiri ni mashoga wanakula watoto witi, sija shuhudia kama ni kweli au la.
Ndgu yangu kama wewe ni muislam acha kabisa hiki unachokifanya hapa ni dhambi.

Mimi sio muislam ila ninasoma na kusikiliza sana mawaidha, ni mazuri yanajenga sana.
Laiti kama tungeishi kama hizi dini zinavyotaka maisha yangekua safi sana, tatizo tunapopoana sana.

Kama hapa wewe unawasema mapadri wa RC vibaya bila kua na hakika, hiyo kwa umma wa kiislam ni dhambi.

Unaambiwa ni kheri kukaa kimya kuliko kumhisia mtu jambo baya.

Mfano umeibiwa kitu, hujui aliekuibia ila unaanza kuwahisia wati labda huyu au yule, itakua ni yule. Hiyo ni dhambi mkuu.

Huenda una jazba dini yako kusemwa/kuhisiwa vibaya lakini unaambiwa hutakiwi kujibu vibaya au kumtukana huyo mtu bali kumuelimisha.

Hapa ndo watu wanafeli sana sana sana.

Kuna hadithi ya mtume, kwamba mke wake wake mkubwa alimhisia vibaya mke mwenzie. Mtume akamkanya kua kama hana hakika ni kheri akae kimya.
 
Mkuu mimi sijawahi kusema hivo nasikia hizo tuhuma tu kwa hao watu ila sijawahi kuhusudia na sina abudi kulitilia maanani kama ni kweli, mimi sina hasira na dini yoyote mimi niko poa kabisa ninacho amini ni utu na ustaarabu wa watu.
 
🤣🤣
Hapana mkuu,we ulikuwa chokoraa,
Kiri Hilo na uanze upya👌
 
Murtadi adhabu yako ni kifo , hakika utakufa na kifo ni adhabu pekee ninayostahili kukupa tukikutana.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hivi unajisikiliza unavyoongea lakini?? Yaani unamlazimisha kwenda "mbinguni" apende asipende lazima aende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]amkeni nyinyi, hivi kweli Mungu anatoa adhabu ya kulazimisha watu kumfuata, kweli? Ili iweje?
 
Hivi unajisikiliza unavyoongea lakini?? Yaani unamlazimisha kwenda "mbinguni" apende asipende lazima aende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1]amkeni nyinyi, hivi kweli Mungu anatoa adhabu ya kulazimisha watu kumfuata, kweli? Ili iweje?
Eeee lazima aende huko maana sasa tutafanyaje kizazi hiki hakitaki huruma .

Vipi lakini wewe uko upande gani ? Ili nijue naongea na ndugu yangu au mmoja wa wanaotakiwa kuuliwa .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Yesu ndo' kimbilio pekee la wanyonge.
 
Huyu inaonekana alikua ameshakua Murtard adhabu yao ni kifo, naona mateso yali muanza mapema tu kwa hicho kitendo......baba mzazi alikua sahihi kama kweli ulikua Murtadi na mimi siwezi kukutafuta tena.
acha uchizi mtoto ameamua kufuata imani aipendayo wacha kumtolea panga.
 
Murtard ni hatari sana kwa jamii ni kitendo cha unafiki mkubwa hastahili kuishi duniani tena. Nakushauri fanye toubah nasihi urudi kwenye uasilia wako kabla mabaya zaidi hayajakukuta.
wacha kumtisha kijana.Yesu ndo jibu pekee na tumaini la wanyonge .

Na isingekuwa vitisho vyenu,huko misikitini yangebaki mazuria tu.
 
Huyu inaonekana alikua ameshakua Murtard adhabu yao ni kifo, naona mateso yali muanza mapema tu kwa hicho kitendo......baba mzazi alikua sahihi kama kweli ulikua Murtadi na mimi siwezi kukutafuta tena.
Kwahiyo mtu akiacha dini yenu adhabu yake ni kifo, najua ndivyo ilivyo. Hivi umeshajiuliza maswali kidogo? Kwa nini ukishakuwa muislam huruhusiwi kuritad/kubadilisha dini? Kwa nini adhabu iwe kifo? Hivi kweli Mungu anaweza kumlazimisha mtu lazima amfuate ili aende Mbinguni? na kwamba akikataa tu anaamuru auwawe. Kama ni hivyo, kwamba ni lazima woote twende Mbinguni, Mungu anashindwa nini kutufanya wooote kuwa dini moja?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani kwa jinsi ulivyoandika hapo ni sawa na mtu anayemwambia mtu aliyeritadi "Kwanini hutaki kwenda 'mbinguni' lazima utaenda "mbinguni" hata kama hutaki" [emoji1][emoji1][emoji1] dahh wenzetu mnaraha sana yaani mnapelekwa "mbinguni" kwa lazima [emoji1787][emoji1]
 
Ndo tatizo la waislamu ukiacha tu dini na undugu umekufa utatengwa hata na mende wa nyumbani.
Tofaut na Wakristo wapo hadi mashehe familia Yao wote ni Wakristo na Wala hapana mwenye habari nae Kama halijatokea jambo na undugu wao haukomi kisa dini
tatizo quran inasema wamchinje.

Mungu gani chinja chinja?
 
Mkuu kuna tafauti ya Murtadi na muumini wa dini nyingine wakuzaliwa hao ni watu wawili tofauti........Murtadi ni laana kwenye familia lakini imani zingine ni sawa nikiweka jitihada tu warudi penyewe.
Allah angekuwa na nguvu kusingekuwa na murtadi, wote wangekuwa dini moja.Allah ni dhaifu ndo maana kuna murtadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…