Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

Usidanganye watu bro kuwa hizo kazi kama zina laama bali shauri vijana wafanye hzo kazi in proffesional way mimi ni graduate toka 2012.

Na kazi yangu ilianzia kwenye bolt nkahamia udalali mpaka leo napozungumza na wewe nina kampuni na nimesajiliwa kama dalali na kila siku navusha gari toka nje na kila siku nauza gari za watu.

Na kupitia kazi hyo naweza kuthubutu kusema kuwa kuna wafanya kazi weng sana wa non and government nmewapita mbali.
 
Hongera.
 
Vipi mbadala, wa nini la kufanya?!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Hizo nyingine sawa ila bodaboda labda hawa ambao wanafanya local na kukaa vijiweni ila boda ukijibrand ukawa smart ukatumia hizi platform kama Bolt,Ubber ni kazi nzuri tu maana kama ni ajali zipo kila sehem hata kwa wenye magari... Muhimu kuwa smart, kujituma na Kumuomba Mungu kwenye kila jambo.
 
Nakubaliana na wee kwa hoja zote muhimu

Ila nimecheka Sana kwenye kuokota makopo

Kuna wakt mm naokota kwa ajili ya kupimia rangi za 2k na patex
 
Ila mkuu kwenye Kaz ya kuwa chawa mbna hujaweka ni kaz hatari Sana hyo unaeza kuweka marinda rehani
 
Kwenye Bodaboda nakukataa mana ndo ajira pekee inayosaidia vijana wengi Kwa sasa Mimi ni Bodaboda nimeanza mwaka 2022 kwa pikipiki ya Mkataba saizi namiliki pikipiki 4 so Kila kazi ukifanya kwa malengo inakupa heshima tu hata kama hutoboi
 
Alikuwa anaingia yeye mwenyewe mtaani na kuokota makopo au alikuwa na kituo cha kupima makopo yanayoletwa na waokotaji?
Yeye ni wale watu wa kati yaani dalali kama vile wale wa chuma chakavu. Wanawalalia wale wanaobeba mamifuko huko mitaani kisha wao wanauza kwa wenye viwanda malori kwa malori ya makopo au chuma chakavu. Ndicho Cheka alichokuwa anafanya.
 
Udalali una pesa nyingi sana, sema tu madalali wanafuja pesa wakiamini kesho watazipata nyingine, ila amini ni sehemu wanapiga pesa sana kwa uharaka sana, kwa mananeo machache ya mdomo na kujua site za kupangisha tu.
 
Kwenye Bodaboda nakukataa mana ndo ajira pekee inayosaidia vijana wengi Kwa sasa Mimi ni Bodaboda nimeanza mwaka 2022 kwa pikipiki ya Mkataba saizi namiliki pikipiki 4 so Kila kazi ukifanya kwa malengo inakupa heshima tu hata kama hutoboi
Umegraduate lini?
 
Yeye ni wale watu wa kati yaani dalali kama vile wale wa chuma chakavu. Wanawalalia wale wanaobeba mamifuko huko mitaani kisha wao wanauza kwa wenye viwanda malori kwa malori ya makopo au chuma chakavu. Ndicho Cheka alichokuwa anafanya.
Ndio maana nikamwambia hakuna muokota makopo anayeweza kumudu hata kununua suruali mpya ya sh 20000! Mkubwa hakunaaa! Hao anaowasema ni wanaoyakusanya wao wanampelekea mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…