Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

Unaongea tu wewe.Hujui kitu mdogo wangu.
Utakachokifanya Jamii itaishia kukuona tu Malaya,na watu wataconclud kwamba kumbe jamaa kweli alikua Ana haki ya kukuacha,kumbe wewe uko kwenye ligi na mumeo.
Lakini mwanaume atasifiwa",aah jamaa kachukua kifaa kipya kabisa.unajua bana kata mti panda mti."
Hata ndugu na wazazi wako watakua wanyonge kwa Tabia zako mpya.
Mwanamke Ni tofauti na me.
Jamii nzima inamuangalia mwanamke kama kiumbe mstaarabu.
Hata watakao kuwa wanakuchapa watakugeuza hit and run.sasa hi sio nzuri.
 

Hebu soma vizuri alafu rudi kusoma ulicho andika
Sijui ni wapi nimesema nitamkomoa kwa kutoka na mwanaume mwingine

Jamani eleweni sio kila mtu give fucks of what people think
Hebu tuelewe jf watu tuna background tofauti malezi tofauti na misimamo tofauti na tuheshimu tofauti zetu
Inaonekana hii comment yangu ni mwiba kwa wanaume wengi
Poleni kama nimewakwaza nilikuwa natoa experience yangu[emoji1374]
 
 
Binafsi ni mchepukaji mzuri na mara kadhaa wife amestukia ila siku za hivi karibuni nimenotice mabadiliko yasiyo ya kawaida kwamba akistukia au kusikia mambo huwa anajifanya kujisemesha na kunihombeza kiana na kujiapiza uongo na ukweli afu inakuwa imetoka hiyo.

Sasa hapa naanza uchunguzi wa kimya kimya tuu nikibaini sina msamaha hata siku moja siwezi gharamia mhuni hata siku moja na yeye anajua huwa namwambia ,afanye hiyo ligi ila nisijue
 
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢
 

[emoji28][emoji28][emoji28]nikijibu naambiwa jeuri nikifupisha maelezo naonekana nime mind
Huwezi kumridhisha kila mtu
Tatizo huu mjadala hauna fair ground,wengine wanachukua vitu so personal,nikifunguka hapa mambo ni mengi muda mchache [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu wacha tuendelee na mambo mengine
Weekend hii tunaimalizia January taratibu
 
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢

Yani kauli ya kwamba furaha yangu haihusiani na mume wangu inewakeraa wanaona kama vile ni wake zao wamesema hivyo
Nimesema kabisa mimi binafsi nimevuka hio level ya furaha yangu kumkabidhi mume wangu,either tugombane au tuwe na maelewano ndani Mimi nachukulia ni sehemu ya maisha haiwezi kunitoa furaha yangu
Nimegundua wanaume wanapenda tuwalilie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani comment yangu moja imewapa uchungu wengi mpaka nimeshangaa unadhani nimewashtua wake zao huko majumbani kumbe ni jf tu hio
 
Mpenzi Wangu Maya hebu Soma aya ya mwisho ya komenti yako.
Kuwa me sisi Ni weak hatuwezi kuvumilia KUCHAPIWA.
Hapa ndipo ulipokua msingi wa hoja yangu kuwa.Kumuumiza men kwa kujiachia kuchapwa kunamuathiri zaidi ke ktika Jamii kuliko me.
Basi Mimi siendelei na mjadala.
Naomba unisamehe ntakununulia biscuits "Eat sum more"
 
Wanaume hawataki kukubali kuwa wanawake tuna furaha zetu, wakiona hivo povu jingi humu, na lazima wabadilike tu kwa lazima,¢
Sisi ndo sisi Bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada Maya, sijui kwa nini una hasira na uchungu hivyo!
Mleta maada alitaka kutoa ushauri kwa mambo 'sensitive' sana kwa wanandoa wa kiume...hasa akigusia jambo gumu kumeza kuliko yote yanayoweza tokea kwenye ndoa na namna ya kukabiriana nalo! Majibu ulioyatoa ndio yaliyoshtua wengi! Wewe ndio umeonyesha huo ubabe dhidi ya huyo uliyemtendea kana kwamba alikutuma ufanye hivyo na kwa ukaidi na bila haya unaahidi kumtesa zaidi kama hatakusamehe na kusahau kwa muda wako uliojiwekea! Wakati huohuo unajigamba unamuheshimu mumeo huyohuyo unayemvunjia heshima na kuahidi kumkomesha zaidi asipokusamehe kwa wakati...huu ni utani! Heshima ni heshima tu kama humuheshimu mtu mwingine hata uliyenaye ndani...huyo mumeo kama kweli umeolewa huwezi muheshimu!
Humu mitandaoni kuna wengi wanapita na wengine hutumia maoni ya watu kutekeleza wanayotekeleza...hivyo tunapaswa kuwa waangalifu kwa tunayoyaandika ili yawajenge wengine!
"Kama umefatilia huyo alikuwa anani attack kwasababu ya post niliomba ushauri mwaka jana,Hebu nikuulize wewe uliekeleketwa na tabia yangu unataka kuniambia jf ni wanaume tu wanaruhusiwa kuomba ushauri,yani niogope kuomba ushauri au kuchangia kuogopa tu nitashambuliwa kwa maisha yangu ya nyuma?"

Toa ushauri unaojenga...badala ya kutibua na kutokubali matokeo ya utibuaji wako ni bora usitibue, baki nyia kuu...ukichepuka huwezi ukasimama na mishipa ukiitoa nje eti unamuheshimu huyo mumeo/mkeo! Itabidi ukapimwe akili! Huwezi mlazimisha mtu uliyemuumiza namna ya ku'react'! Maana kufanya hivyo unaweza sababisha makubwa zaidi!
Wanandoa, tujitahidi sana kuenzi viapo vyetu, tubaki njia kuu, ili tusijikute ktk mazingira magumu! Ukiacha mambo mengine kuna corona unaweza ambikizwa ikakugwarimu maisha yako na familia!

"
Nirudi kwako wewe ulieingilia usiyo yajua na kutoa ushauri juu,sijajua unajipa nafasi gani kwenye maisha yangu na unajiamini nini
Sidhani kama nimewahi kukupangia maisha humu ndani,au Kuna ninacho kutegemea hebu kiseme hapa ueleweke
Mwisho ushauri peleka kwa ndugu zako naamini lazima kuna watu wako wa karibu wanahitaji sana uwaongoze usijikute mshauri wa mitandaoni kushauri usio wajua"


Hukumbuki kuwa ww mwenyewe umekuwa mnufaika wa ushauri kutoka kwa watu usiowajua kama mwenyewe unavyoshuhudia🤔! Leo hii hutaki nikashauri kwa jambo lilopindika kama hili...huoni na wewe unakuwa cyber bully🤔! Ok, ok, samahani kwa kukushauri!
Ila maombi ni muhimu aiseeh!
 

Naweza kuendelea kujibu lakini tayari hakuna fair ground toka mwanzo wa uzi wanaume wenzio walio kutangulia jibu moja tu wakakimbilia kufukua uzi wangu wa mwaka jana ambao hauna uhusiano na hii topic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio imeleta kelele nyingi sana hapa wamechachuka
Hivyo tambua sijashindwa kukujibu ila sasa tupunguze mambo mengi
Hizo eat sum more ni za wanangu wanao enda shule ujue [emoji4]
 
Siyo jamii tu, hata Mungu aliamua kumpa mwanamke jukumu la kamtunzia watu wake kwa uaminifu kwa miezi takribani 9 kabla mtu huyu hajaweza kuvuta hewa na kula mwenyewe! Bado Mungu akaendelea kumheshimu na kumwamini mwanamke aendelee kumtunzia vichanga hivyo alivyo zaa mwanamke kwa kuvinyonyesha na kuvietipeti mpaka vitakapojitambus na kujisimamia vyenyewe!
Mwanaume alikuwepo lakini heshima hii hakupewa!

Sasa unapokutana na mwanamke fyatu kama Maya asiyejielewa anaanza kuweka league na mwanaume hata nzi watamshangaa!
Shida ni ulimbukeni tu na kutojijua uthamani walionao wanawake ndio shida!
 

Kiukweli andiko ni refu kaka nimeanza mistari miwili nimeshindwa kuendelea
Mwanzoni umesema nina uchungu mwingi sio kweli ni mtu napenda kuji express sana labda text ndefu ndefu unaona nina uchungu,sijajua uchungu wa nini ila I assure you am at peace
Ila Asante kwa mchango wako mrefu natumaini kama sio mimi kuna mwingine atasoma utamsaidia ,nikuhakikishie hujapoteza nguvu yako bure[emoji1374]
 
Umeangalia sababu moja tu ya hisia, ila umesahau kuwa kuna sababu lukuki zinawafanya watu wachepuke
 
Mimi nipo hapo kwa Makauzu, No second chance inatosha.
 
Sisi ndo sisi Bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kweli nyie ni nyie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nawakubali wanaume kuanzia Baba,kaka zangu mpaka mume wangu
Nyie ni watu muhimu sana
Lakini mkianza kutumia nguvu kutuonyesha nyie ni nyie tunaona kama mnakosa kujiamini
Mwanaume ni mwanaume tu haitaji kutumia nguvu kujitambulisha [emoji4]
 
Ndio hivyo mkuu, unapita kushoto tu uachie wengine space
 
Kwa taarifa ukikua ndio utajua vizuri.
Lakini tambua kila ndoa inachangamoto zake, na ina namna yake ya kuhandle.
So jua huna uzoefu wowote...
Haya mambo yenu ya ukikua tumeanza kuyasikia miaka mingi nyuma,sasa siku hizi we stay on top and break the rules.
 
Hii ni ishara ya kiburi na majivuno ambayo kwa kiasi kikubwa huleta madhara hasi katika ndoa. Mtu mwenye tabia kama hii anaweza kufanya jambo baya kusudi akijua kuwa ataomba msamaha na atalazimisha kusamehewa maana mwenza wake atakuwa anajua kabisa kuwa asipo samehe basi mambo yanaharibika. Unapata muda wa kujutia kibaya ulichofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…