Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Cheza na malengo yako , huwenda ukawa baba mwenye nyumba bila kujua bei ya misumari na bati , yote ni maisha tu bwashee
Acha kuninafikia... Ungeishia tuu kusema takua baba mwenye nyumba......

Ila hapo ulipoongezea kwmba sijui bei ya bati wala misumari huo ukorofi...

Mi ukorofi staki humu ka vpi tutafute sehemu tuzichape live live 😂😂😂😂
 
Ni kweli ndinga kali, majumba makali yanapita ila hakikisha yanapitia na kwako pia.
Riziki inatoka kwa Mungu,kupambana peke yake sio formuler ya mafanikio,kuna ambao wanakesha wanapambana lkn mambo bado

Na kuna ambao inapigwa simu moja tu katoboa,maisha yana mambo mengi sana
 
Acha kuninafikia... Ungeishia tuu kusema takua baba mwenye nyumba......

Ila hapo ulipoongezea kwmba sijui bei ya bati wala misumari huo ukorofi...

Mi ukorofi staki humu ka vpi tutafute sehemu tuzichape live live 😂😂😂😂
Soma vizuri tena bwashee
 
Nusu Albino hii ni bonge la point kudadadeki
 
In.short umepanick
 
Maisha mazuri yanawezekana sana, wewe amua tu kuwa adui wa serikali, mbwa wa serikali au ukosane na Mungu mazima.

Hatima yako utajuana nayo mwenyewe mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…