Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #61
Duu upo serious mkuu,kama kuna watu ambao wamejifunza kuyachukulia maisha ize basi ni mimiIn.short umepanick
Duh ko poor brain kama kaandikiwa kuishi miaka 60 ndo atakuwa anaifikisha toba!!Sasa 2070 si kesho tu? Yani ni miaka 34½ 😁
Mkuu mi siwezi kuwa na baba kama wewe..Faza yupi ? Wakati me ndo faza wako unakosa adabu eeh ?
Huko akhera SI ndy Kuna zile sild72Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Tafuta pesa wewe ule maisha. Kufa kupo tu, uwe maskini au tajiri hilo lipo tu.Duu upo serious mkuu,kama kuna watu ambao wamejifunza kuyachukulia maisha ize basi ni mimi
Nimejifunza kwanza furaha ya kweli haipatikani kwa mali au mambo mengine bali furaha na amani ya kweli inapatikana ndani yangu na kwa kiasi gani nayachukulia mambo na nayaangali mambo
Nipo hivyo daima
Kwema expert wangu, kikubwa pumzi si unajua mambo mengiFaza kwwma...
Ulipotea sana
Kwani kuna shida?Huko akhera SI ndy Kuna zile sild72
Si rahisi kukosa vitu vizuri harafu ukarelax kama uko ulimwengu wa nyama, Na wanaosema huwa wanavumilia kukosa vitu wanavyovipenda na maisha yakaenda sawa huwa ni kuigiza tuu,my take kumbuka kuwa ulimwenguni tumekuja kwa sababu maalum, kitendo cha Mimi na wewe kupenetrate hadi huku ulimwengunii tuna sababu kubwa ya kuletwa, jiulize swali dogo tu wewe unaweza kutoka home na akiri timamu ukaenda sehemu fulani bila sababu maalum? Mungu atupe mwisho mwema.View attachment 3377475
Jana nikiwa katika mishe mishe ndani ya Daslamu,kwanza nilipita sehemu nikaona watu bwana wana makazi mazuri sana,yani unapata hamu hata ya kuwahi kurudi home,nyumba kali,garden kali na swimming pool ya kiushikaji.
Jamani kuna watu wanaishi kwenye makazi mazuri na kuna sisi tumejaaliwa kujistiri tupate pakulala na kujihifadhi
Nikiwa njiani ndani ya jiji la Daslamu,nakutana na ndinga kali barabarani,jamani kuna watu wana drive ndinga na wengine tuna usafiri wa kutoka point moja kwenda nyingine
Unajua nini expert wangu? Iko hivi mwisho wa siku tutakufa,kwahiyo take it ize,yani usiwaze kivile,hatupo duniani milele kwamba ukose raha mbona mimi sipo kama wale au similiki mali kama wale
Kifo kiwe liwazo kwako kwamba hayo yote hayatadumu milele,kwahiyo haina haja ya kukosa raha na furaha,mwisho wa siku hapa duniani tunapita tu
Umekosa makazi ya ndoto yako,just chill usikonde
Umekosa ndinga ya ndoto yako,just chill usikonde
Umemkosa umpendaye kwa dhati,just chill usikonde,coz ipo siku ungekufa wewe au yeye
Kwa kila jambo ambalo limekuwa hamu yako kubwa tambua kwamba one day,huu ulimwengu utaisha na maisha halisi yataanza huko akhera,kikubwa tengeneza mazingira ili upate neema za huko akhera
Ni hayo tu!
Nina mashaka kama umeelewa andiko langu,sipingi kutafuta maisha na kuinjoy maisha mazuriTafuta pesa wewe ule maisha. Kufa kupo tu, uwe maskini au tajiri hilo lipo tu.
Yeah ukishasema kupambana maana yake kuna adui , hivyo lazima kuna namna unaweza kupambana huku ukiwa na stress za adui yako kukushindaKwani kupambanana nako ni stress?
Hakuna shida mkuu akili yangu imekaa kiuchakataji zaidiKwani kuna shida?
Ok. Ila.usikate tamaa bwana mapamabano yaenndelee si unaona akina mseven na wasiraNina mashaka kama umeelewa andiko langu,sipingi kutafuta maisha na kuinjoy maisha mazuri
Ila pale ambapo ndio imekuwa majaliwa yako,basi ikubali hali yako na utakuwa na amani
Iko hivi,watu tunatofautiana sana test katika maisha,unachopenda wewe sio lazima nipende mimiSi rahisi kukosa vitu vizuri harafu ukarelax kama uko ulimwengu wa nyama, Na wanaosema huwa wanavumilia kukosa vitu wanavyovipenda na maisha yakaenda sawa huwa ni kuigiza tuu,my take kumbuka kuwa ulimwenguni tumekuja kwa sababu maalum, kitendo cha Mimi na wewe kupenetrate hadi huku ulimwengunii tuna sababu kubwa ya kuletwa, jiulize swali dogo tu wewe unaweza kutoka home na akiri timamu ukaenda sehemu fulani bila sababu maalum? Mungu atupe mwisho mwema.
Yep hakuna kukata tamaa,si umeona prince Charles kasubir mpaka kwenye 70's kawa kingOk. Ila.usikate tamaa bwana mapamabano yaenndelee si unaona akina mseven na wasira
Nimeipenda hiiMleta mada nmekuelewa.
Wasio elewa acha waendelee kufosi maisha pasipofosika wawe wake za watu.
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini Kila kitu hata kiwe ni cha kawaida lazima kipatikane Kwa kukitafuta? Hakuna anayeridhika low level mkuu, pengine tu tukubaliane kudanganyana kama tulivyozoea.Iko hivi,watu tunatofautiana sana test katika maisha,unachopenda wewe sio lazima nipende mimi
Kuna watu wanahitaji kupata mlo wao wa kila siku,sehemu ya kulala na vitu vidogo vidogo,kwao hayo ndio maisha
Kuna ambao mnapenda muwe high profile ukipita kila mtu akujue fulani anapita au amekuja,kwahiyo kila mtu ana uchaguzi wake katika maisha
Kwahiyo iko hivyo
Atafutwe promoter mkuu nipo tayari. Ukumbi uwe Mwenge pale!Tuzichape basi tuone nani atakua mshindi