Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Therapy
 
Kufa kupo pale pale, lakini kuacha kuchakalika na kujenga ukwasi, kuleta Tulsa zenye manufaa kwa wengine, kisa kuna kifo,huo ni ubinafsi mkubwa, Ila watu weusi ndio wanawaza, hv,
Huko ulaya, kuna tafiti zinafanyika kuweza kutengeneza tekinolojia itakayowezesha ndege inapofeli huko angani, cabin ya abilia,ijichomoe, iruke na mapalachuti na kutua chini! Wanaowaza hv hawana shida ya hv vitiolioni vya pesa, wanavyovingi, Ila wanasukumwa na humanity, wanataka waiache dunia ikiwa Bora kuliko walivyoikuta,
Ila mmatumbi, na mswahili akishiba ugali, anaona hakuna haja ya Ku tafuta wanna, maaana, kuna kifo, sasa, mzungu angewaza kama sie, hizo V8, iphone, Boeing, insta, Facebook, zingetoka wapi? Tuache ubinafsi
 
Ndio mana hukutaka tabu ukaamua kuazima ndinga Kwa mchizi wako ili uwende kuwachek madogo.

Mtalaka wako akajua umenunua ndinga mpya akavuta kumbukumbu ya Zamani ngali kipindi mkiishi Kwa furaha.
Hapo ukumbuke gari yangu pia nimeitelekeza nakususia washkaji waitumie.
Jumba langu kubwa zuri leo hii limekua gofu, hata wanangu hawakai, wamebanana kwenye chumba sebule kwa akili za kipumbavu za mama yao

Saad30 nimejifunza kitu kwenye maisha kikubwa sana ,ila kuna namna kama namuelewa mleta maada japo sitaki kumuunga mkono moja kwa moja.
Kivipi??
magari unaweza pata popote tu, hata ya kuazima like i do now kila nikitia mguu Dar matumia magari ya washkaji.

kuhusu malazi hiwez kosa pa kilaza ubavu hata kama sio kwenya jumba kali au nyumba yako. Utalala tu popote.

So JUST LIVE LIFE
 
Hata kama ni kupambana pambania kilicho cha uwezo wako!

Leo account haina kitu, usafiri miguu, nyumba ni chumba cha kupanga, watoto zaidi ya watatu, miaka zaidi ya 45::
Hapo kuna kugeuza maisha ya bei mbaya hayo mnayozungumzia kweli???
 
Hatari kabisa kaka.

Tuseme Tu Sisi wanaume tumeumbwa kutafuta Kwa Nguvu na akili.

Mkuu umepambana Sana watoto Sasa wanaishi na mazazi mmoja Kwa upumbavu WA mama.

Bila Shaka anajuta pakubwa sana
 
Hatari kabisa kaka.

Tuseme Tu Sisi wanaume tumeumbwa kutafuta Kwa Nguvu na akili.

Mkuu umepambana Sana watoto Sasa wanaishi na mazazi mmoja Kwa upumbavu WA mama.

Bila Shaka anajuta pakubwa sana
Walaaa..she is very comfortable . Labda kama she good at pretending. Hata last week tumekua pamoja nilifika kuwaona madogo. Story ile casual yan
 
Waache tu wajifariji kwenye umaskin. Umaskin mbaya sana..sababu Kuna kufa eti unakufa unawaacha familia yako kwenye shida kubwa Hadi watoto wanakulaani huko uliko tena wanakuambia ungetoa hata kafara kwa ajili yao...
 
Kuna mchangiaji kashamaliza "ni kweli magari makali na nyumba kali ni vitu vya kupita Ila hakikisha vinapita kwako "🀣🀞
 
Babu kubwa kamanda umepona
Nilisha achana na drama za kipumbavu, kama ni offer namtembezea na hata pesa akanikopa last time tuomeonana "nitakurudishia" mi kimya nikampa like nothing, week ya 3 sasa kimyaaa πŸ˜‚ na mimi sinaga hata masiliano nae ile kwenye simu ni madogo tu hunipigia kwa simu yake πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…