Lakini sio wote wako tayari pesa yao iguswe. Ukizungumzia pesa yake tu ndoa inaanza kuwaka motoMhh sawa ila mimi nataka kuoa mwanamke ambaye ana kitu cha kufanya ila sio mama wa nyumbani awe ametoka kwao akili itakuwa imepanuka
Nipo Mwanza ujue
Wapo ambao wanatamani bora wangeoa beki 3. Ukimpata anayefanya kazi make sure unapesa kumzidi. Vinginevyo subiri kuwa vidume viwili.Yeap, Sioi beki 3 jinga lisilotaka kufanya kazi, mke wangu ni lazima afanye kazi
Tuonane tuonane Kipenzi Changu kibaridi kinatishia maisha πNipo Mwanza ujue
Hapo kwenye kuonana itabidi nifike Mwanza By Jmos nimuovertake π€£Tuonane tuonane Kipenzi Changu kibaridi kinatishia maisha π
Aloooh hapo ukiona jiandane kuwa na migogoro kwenye familia yako kama Iran na israelNaongezea
1.mwanamke ambaye kwao mama ndio tegemezi na muamuzi wa mwisho, baba hasemi chochote.
2.Mwanamke ambaye familia yake wao kwa wao hawana maelewano.
3.mwanamke ambaye kwao wanamigogoro ya kifamilia lakini wameshindwa kuitatua.
Hauwezi shindana na hasibu weye πHapo kwenye kuonana itabidi nifike Mwanza By Jmos nimuovertake π€£
NI SAHIHI KABISALeo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao
Haya ndiyo aliyoyasema:
- Epuka kuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana lakini bado wanaishi β anadai mwanamke wa aina hii mara nyingi huwa hana muunganiko wa kihisia na mwanaume, anaweza kuona huna thamani kwake na akaweza kuishi bila wewe
- Chagua mwanamke ambaye bado anaishi kwao β yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi wake, si yule anayeishi mwenyewe "ghetto". Anaamini hii husaidia kujua tabia zake za msingi kabla hajaanza maisha ya kujitegemea
- Mwanamke anayemheshimu baba yake β mzee huyu alisema, ukiona mwanamke anamthamini na kumheshimu baba yake, ni rahisi sana na wewe kupata heshima kutoka kwake.
- Hakikisha unamzidi mambo manne muhimu: kiuchumi, kiakili, kiumri na kimtazamo (uwe na mawazo chanya). Alisema hii itakusaidia kuwa na nafasi ya uongozi wa mahusiano yenye afya na heshima
Huyu mzee kamaliza kwa kusema "Ni mzoefu wa maisha na umri na anaelewa nini anazungumza kwa sisi vijana wadogo na wenye kujitafuta.
NAOMBA KUWASILISHA
Hasibu anahela mingi kama Fisysemu na li Vyehitee π€£Hauwezi shindana na hasibu weye π
πNI SAHIHI KABISA
Mjumbe mbona kinyonge ?Kazi kwenu vijana
Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao
Haya ndiyo aliyoyasema:
- Epuka kuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana lakini bado wanaishi β anadai mwanamke wa aina hii mara nyingi huwa hana muunganiko wa kihisia na mwanaume, anaweza kuona huna thamani kwake na akaweza kuishi bila wewe
- Chagua mwanamke ambaye bado anaishi kwao β yaani yupo chini ya uangalizi wa wazazi wake, si yule anayeishi mwenyewe "ghetto". Anaamini hii husaidia kujua tabia zake za msingi kabla hajaanza maisha ya kujitegemea
- Mwanamke anayemheshimu baba yake β mzee huyu alisema, ukiona mwanamke anamthamini na kumheshimu baba yake, ni rahisi sana na wewe kupata heshima kutoka kwake.
- Hakikisha unamzidi mambo manne muhimu: kiuchumi, kiakili, kiumri na kimtazamo (uwe na mawazo chanya). Alisema hii itakusaidia kuwa na nafasi ya uongozi wa mahusiano yenye afya na heshima
Huyu mzee kamaliza kwa kusema "Ni mzoefu wa maisha na umri na anaelewa nini anazungumza kwa sisi vijana wadogo na wenye kujitafuta.
NAOMBA KUWASILISHA
Na wewe tena umekuwa kachochezi? Jamani eeeeh! Kikubwa kumheshimu na ujue tu namna ya kumfikisha Mawenzi ni cha awali Kibo kilele cha pili!Mwanamke akuzidi chochote ila sio akili na mali.....umekwisha π
Watu sahivi vichwa vina mambo mengi hamna mtu anafika kileleni, za ndani kabisa hapa kwetu mwanamke wa mwisho kufika kileleni ilikua june 2021.Na wewe tena umekuwa kachochezi? Jamani eeeeh! Kikubwa kumheshimu na ujue tu namna ya kumfikisha Mawenzi ni cha awali Kibo kilele cha pili!
Watu sahivi vichwa vina mambo mengi hamna mtu anafika kileleni, za ndani kabisa hapa kwetu mwanamke wa mwisho kufika kileleni ilikua june 2021.
binti kiziwi hili si unalijua??
Nawahurumia vijana wanguMjumbe mbona kinyonge ?