Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Hata siangaiki nazo wakati mimi ninaona uhalisia.Kuna research hapo chini. Hii sio story za kijiweni
Kuna matatizo makubwa sana ya kimalezi yanayopelekea ndoa nyiiingi kukumbwa na misukosuko na miongoni mwake ni pamoja na za wanandoa walio lelewa na wazazi wote.
Mke wa mjomba wangu yeye kalelewa na mama kwani baba alifariki akiwa bado ktk umri mdogo na mpaka leo ni wana ndoa licha ya uzee wao.
Sijui kati Bilgate na mtalaka wake ni nani kalelewa na mzazi mmoja lkn madai yako hayana ukweli.