Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Na ilipoanza kutumika nguvu kubwa dhidi ya chadema ndivyo idadi ya kumpinga imezidi kuwa kubwa
 
Vingereza vingi hata havina Pointi😀😀
We andika lugha yako, acha kuteseka na yangu soma pita/just neglect, huu si waraka personal to u, unajitesa na nini, we pita tu usije pata stroke na maandiko usiyaelewa
 
Na ilipoanza kutumika nguvu kubwa dhidi ya chadema ndivyo idadi ya kumpinga imezidi kuwa kubwa
Vibaya sana saizi, leo Makalaa alikuwa kimara raia hata hawana habari nae kabisa
 
Kazi kweli kweli
Hakuna mtu utampata wa kukufurahisha melody unazozitaka, hapa ni free jungle, hupendi/huelewi pita endelea na zingine. Na nitaandika kwa vernacular ya kwetu, hata kama watanielewa wachache sana. kama unateseka na swanglish pole kwa unnecessary inferiority feeling
 
Hakuna mtu utampata wa kukufurahisha melody unazozitaka, hapa ni free jungle, hupendi/huelewi pita endelea na zingine
Washauri viongozi wenu wa CCM waweke tume huru na kuwe na mazingira sawa, pia waache ubabe kwa vyama vingine vya siasa na wajikite kwenye hoja hizo ndio melody kila Mtanzania anazitaka.
 
Kule CCM watu wamekausha kwanza wanasubiri muda ufike waanze kumpinga live. Saa 100 ataangukia pua mwaka huu.
 
Washauri viongozi wenu wa CCM waweke tume huru na kuwe na mazingira sawa, pia waache ubabe kwa vyama vingine vya siasa na wajikite kwenye hoja hizo ndio melody kila Mtanzania anazitaka.
We endelea kujitesa kisaikolojia na siasa, mi nachangia mawazo huru, sijitesi na hizo nonsense ambazo sina uwezo wa kuzipambania, e.i tume huru, wizi wa kura, etc, kumbuka, "The World is Living Suffering is Your Choice"
 
Ni kweli Kuna mtu ataswitch kutoka Chama Tawala na kuja uku Upinzani na uyo ndo atakayechukua uskani wa nchi....apo ndipo utabiri utakapotimia...ya shekh Yahaya na ya Mwl Jk Nyerere.
 
We endelea kujitesa kisaikolojia na siasa, mi nachangia mawazo huru, sijitesi na hizo nonsense ambazo sina uwezo wa kuzipambania, e.i tume huru, wizi wa kura, etc, kumbuka, "The World is Living Suffering is Your Choice"
Ni kweli Watanzania wengi ni mizigo ila sio kigezo cha wengine kushindwa kuipambania jamii kwa kuhakikisha kunakuwa na tume huru, upatikanaji wa katiba ili haki na kura za raia ziheshimiwe na wapatikane viongozi wa kweli wanaotokana na wananchi
 
OK, best wishes
 
Kipindi kinaeeza kuwa ni baada ya yeye kutoka madarakani sio lazima iwe 2025 . Kufikia 2030 CCM itapotea kabisa kabisa kwenye kumbukumbu za kisiasa maana itakua umedhoofika sana .

Wamasai baada ya uchaguzi wataanza tena kuhamishwa .
Mradi wa bandari ya Bagamoyo utaanza tena.
Umeme utapandishwa bei.
Kodi zitapanda .
Nauli zitapanda .
Mafuta atapanda.
Uharibifu wa mazingira utakua amoubwa maana wachina wanakata miti kwa kasi kubwa sana na hakuna anayejali .
Chuki za kidini zitakua ni kubwa sana na ugaidi utarudi kwa kasi kubwa .
Utakatishaji fedha utakua mkubwa sana.
Pesa itashuka thamani sana.
Tatizo la ajira litakua kubwa sana.
Waarabu na wachina watakua wengi sana mpaka kero.
Presha zitawapanda na kushuka kwa watawala mpaka hali zao kuwa mbaya kiafya .
 
Lakini pamoja na utabiri huo ni ngumu upinzani kuchukua nchi ni ngumu maana polisi wataibeba ccm Kwa kusaidia kuiba kutokana na kwamba wanajua watanzania ni waoga.Lakini tungekuwa sisi wakenya tusingekubali huo ujinga maana sisi tunajitambua na Huwa hatuchelewi kukinukisha inapotokea ujinga ujinga mingi. refer generation Z response after kasongo tried to introduce illegal taxes.Watanzania acheni ujinga wenu wa kuteswa na chama lenu la kiharamia.Amukeni na muache umaiti wenu.
 
Aisee unabii wako ni kama mimi pia ninavyoona ajenda za huyu Mama, hayo mambo uliyo highlights mengi sana yatatokea na asilimia kubwa yatawaleta pamoja Watanzania na kuichukia vibaya sana CCM
 
Huu unabii not necessarily kwamba utatimia huu mwaka inawezekana ukatimia 2030 maana kuanzia 2025-2030 kuna mambo mengi sana ya ajabu atakayofanya Samia yataghadhabisha watanzania na ndipo anguko kubwa la CCM litashuhudiwa. Time will tell
 
Watu wa hali za chini wanateswa kama sio wenye nchi,wanagawana vyama kiaina ili kutaka madaraka na manufaa yao,wanajilimbikizia kodi za walala hoi shenzi kabisa.
Kabisa ukitaka kuona namna watanzania wanapitia hali ngumu nenda ndani vijijini huko aisee unaweza jikuta ukilia, hawa jamaa wameshindwa kuwakomboa Watanzania kwa kuweka sera nzuri ambazo zingesaidia sana ustawi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…