Naona hapo sio sahihi huwezi kuuza nyara za serikali wazi wazi, na pesa inaenda kwenye hazina, ungesema rushwa ambae amepewa kwa kuruhusu hiyo biashara ifanyike,.........kama hicho ndo kigezo chako cha ukatishaji wa fedha huujui neno money laundering ni nini?Kwanini? Huyu ndo mtakashaji mkubwa kuliko wote?
Hapana. Mfano mwanasiasa kauza twiga billioni moja uarabuni. Hizo hela atashikiwa akiwanazo anaziweka mahali azitakatishe. Anaweza akaenda kwa mfanyabiashara wa mabasi. Akaununua mabasi kwa jina la mtu yule hata kumi. Wewe ukiamini ni mabasi ya mtu fulani kumbe sio
Kiboko ya wachawiWapo soma vizuri hao nao kiboko
Ongeza :Ongeza yako unayoyajua katika hili!!!!!!
Ana wivu tu huyo matajiri walimnyima kibaluaJulisha julisha watu tuelewe
Matajiri wanampima Imani yake kwanza, kama ni mstahimilivuMatajiri walikunyima kibarua leo umeamua kuwaponda eti watakatishaji njoo tukupe kazi ya kuzoa taka na kulisha paka wivu utakuishia
Hahaha boss alichoongea kina ukweli Mimi katika harakati zangu kuna Tajiri mmoja nilikua nafanya nae kazi alichokua anakifanya ilibakia kidogo tu nimchome Ila nikakumbuka ule msemo wa Wahuni wa Masela wote peponi walisema "Ukiona kausha" Ila ilibakia kidooogo nimchepe na yule Tajiri ana Pesa Ila Pesa zote anatakatisha, anatakatushaje hio sikwambiiMatajiri walikunyima kibarua leo umeamua kuwaponda eti watakatishaji njoo tukupe kazi ya kuzoa taka na kulisha paka wivu utakuishia
Ana wivu tu huyo matajiri walimnyima kibalua anajifariji sasaMatajiri wanampima Imani yake kwanza, kama ni mstahimilivu
Mkuu 😂Hahaha boss alichoongea kina ukweli Mimi katika harakati zangu kuna Tajiri mmoja nilikua nafanya nae kazi alichokua anakifanya ilibakia kidogo tu nimchome Ila nikakumbuka ule msemo wa Wahuni wa Masela wote peponi walisema "Ukiona kausha" Ila ilibakia kidooogo nimchepe na yule Tajiri ana Pesa Ila Pesa zote anatakatisha, anatakatushaje hio sikwambii
Maskini wana wivu sana mtu akitoboa ni freemason au mtakatishaji!Kwema mkuu? mbona makasiriko kupitiliza.
Ndio Mkuu, yule Tajiri ni Mafia kinoma anatakatisha Pesa na yupo kwenye system Wewe hawa watu waone tu hivi hivi Ila ukifanya Wewe hufiki mbali unanasaMkuu 😂
Watakatisha fedha wapo ushahidi tunao usikatae Wewe BibiMaskini wana wivu sana mtu akitoboa ni freemason au mtakatishaji!
Si aseme kama hana pesa ya kula tumpe
Sasa kwani ni matajiri wote na wewe hujawahi kuibaHahaha boss alichoongea kina ukweli Mimi katika harakati zangu kuna Tajiri mmoja nilikua nafanya nae kazi alichokua anakifanya ilibakia kidogo tu nimchome Ila nikakumbuka ule msemo wa Wahuni wa Masela wote peponi walisema "Ukiona kausha" Ila ilibakia kidooogo nimchepe na yule Tajiri ana Pesa Ila Pesa zote anatakatisha, anatakatushaje hio sikwambii
Itakuwa na wewe ni mwenzake hujala mnajifariji tu pambaneni kwa bidii sana muache wivuWatakatisha fedha wapo ushahidi tunao usikatae Wewe Bibi
Ebana E yule Tajiri anatakatisha kinoma noma mpaka balaa nikikwambia anachofanya unaweza ukadata halafu naweza nikawa nimegawa faili lake humu akaanza kufuatiliwaSasa kwani ni matajiri wote na wewe hujawahi kuiba