Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

Mtoa mada ana njaa ana hasira na matajiri
 
Kwa vile ni jambo la haramu na linafanyika kwa usiri mkubwa, hatuwezi kujua wahusika wakuu ni kina nani
 

Kutakatisha pesa ndani ya nchi kunaongeza mzunguko wa hela

 
Ebana E yule Tajiri anatakatisha kinoma noma mpaka balaa nikikwambia anachofanya unaweza ukadata halafu naweza nikawa nimegawa faili lake humu akaanza kufuatiliwa
Sasa si maisha yake wewe yanakuhusu nini usikute na tajiri yako sio mtakatishaji unasingizia tu kwakuwa amekuzidi mbali tafuta pesa uwe na akili
 
Kwahyo kwenye financial statements cash flow inaonekanaje? Especially inflow?
 
Nenda www.google.com
Kisha andika neno,"money laundering " fungua link ya wikipedia kisha uje utupe umbea sasa.. ila kwa hili... uwongow
 
Genius
 
Mfano msani A ameenda kufanya shoo. Mtu anataka kumtumia kitakatisha fedha. Huyo mtu atamlipa kiasi cha fedha labda bilioni mbili ambazo kimsingi hazilingani na thamani ya shoo hiyo.
Hiyo bilioni mbili ni fedha chafu. Kwahiyo ataingiza kwenye akaunti ya msani A. So hela itaingia benki( mfumo rasmi wa fedha) hapa tayari fedha chafu imeingia kwenye mfumo Ili iwe safi. Baada ya muda msani yule ataenda kwa mfano kununua apartment, mabasi ya biashara, malori na kadharika kutokana na fedha Ile na ikiwa imetokea benki. Hapa fedha tayari imetakakata na imeingia kwenye mzunguko rasmi. Sasa kwenye kununua vitu hivyo wao msani A na mhusika watajua wanafanyaje.
 
Na makanisa na watu wa huduma za kiroho wanatumiwa sana katika utakatishaji fedha...
 
Nimekuja kujua concept ya utakatishaji fedha baada ya kusikiliza mkasa wa HUSH PAPI aisee kama ni kweli yule bwana ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…