Kwani katiba iliyopo inaruhusu ufisadi?... mkiambiwa inahitajika Katiba yenye nguvu sio tu kurudisha nguvu kwa wananchi lakini pia ku-regulate madaraka ya watawala hua mnajitoa ufahamu kuelewa; hiyo ndio maana yake! Kwa Katiba hii siku likizuka dikteta la ukweli ndio mtajua hamjui and will be too late.
HapanaYou mean ‘Makalla’
Kama alikuwa lecturer halafu ameshindwa kuwapatanisha TRA na wafanyabiashara yeye mwenyewe ndio kabisa hafai.
Labda Kikwete awe kaburini.Makonda atarudi hivi karibuni, muda ni wakati mzuri.
... mifumo dhaifu inayoundwa na Katiba iliyopo ndio chanzo cha ufisadi. Kama watu wanaweza kujitungia sheria ya kuwapa kinga za maisha dhidi ya maovu waliyotenda wakiwa madarakani unategemea nini? Katiba hii ni mbovu!Kwani katiba iliyopo inaruhusu ufisadi?
Chadema mnayo katiba mpya lakini mbona Mbowe anamiliki hisa 88% za chama,na anapiga pesa na kulamba asali live?
Aliyekuwa mkuu wa wilaya Busega, Gabriel Zacharia nilitonywa kuwa alilipia nyumba ya kuishi kwa mwaka mzima na ndani ya mwezi huo akatenguliwa.Kama mmemsoma huyu mama,Hataki mtu aisoee sana sehemu na sehemu isimzoee.
Baada ya muda fulani anahamisha.
Kabisa Mkuu,maisha yao katika nafasi husika ni mafupi mnoAliyekuwa mkuu wa wilaya Busega, Gabriel Zacharia nilitonywa kuwa alilipia nyumba ya kuishi kwa mwaka mzima na ndani ya mwezi huo akatenguliwa.
Maisha ya hawa watu kwenye nyadhifa zao ni ya mda mfupi sana.
Ni kweli kabisa. Alianza na kelele nyingi nikawa na matumaini Dar itabadilika na kuwa jiji la kupendeza. Kumbe hamna loloteIla Makala huwa namuona kama mbabaishaji fulani hivi...
Ulaji tu, wakati kuna RAS pia
Ni sawa na kusema kuna waziri mkuu raisi wa nini?Ulaji tu, wakati kuna RAS pia
Mwenyezi Mungu aepushie mbali huyo shetwani.Makonda atarudi hivi karibuni, muda ni wakati mzuri.
Hahahahah ama kweli.Mambo ya kutoa Mlango na kuweka pazia[emoji28]
Makiwendo wangu.Mambo ya kutoa Mlango na kuweka pazia[emoji28]
Makonda alikuwa na backup ya mwanadamu, Hana lolote atakaloliweza!! Kuwafokea watu Sio uongozi Wala msimwazie atawezaSalaleeeeh!
Dar imepata mtu mwenye masifa kama Makonder
makonda ndiye taipu halisia ya watanzania, anafaa kuongoza hapa nchini....wananchi hawa wa ku boostiwa kwa chanjo hawa...wanafaa kuongozwa na kichwa kama cha makonda mkuu 🙁Makonda alituharibia tu jiji
Halafu alikuwa anaanzisha mambo mengi yalikuwa yanamshinda yanaishia njiani
Na alikuwa na kiburi na dharau
Makonda hafai kuwa kiongozi
Sijui wenzetu uongozi huwa mnaupimaje? 🤔
Hata Makala walisema anafaa u Rc wa Dar, tena humu humu jamvini!Dar angeiweza Mtaka peke yake, hapa tunazungushwa Jangwani tu sijui lini tutaingia Kaanani
Yule sio kiongozimakonda ndiye taipu halisia ya watanzania, anafaa kuongoza hapa nchini....wananchi hawa wa ku boostiwa kwa chanjo hawa...wanafaa kuongozwa na kichwa kama cha makonda mkuu 🙁