Sizitaki hizi mbichi ! Ahahahaaa
 
Hakika....

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
#SiempreSSH
 
jiepushe na matusi, ungelinijibu tu kwa maneno mema tu. Mimi nimequote johnthebaptist baada ya kumuuliza, and I did not folow it any more. Sasa wewe unanitukana.
Nimeona wapi kosa lilifanyika mkuu, sikudhamiria kukujibu wewe kwa kweli! Nilikuwa namjibu Johnthebaptist, kumbe na post yako nikawa nimefungua kama najibu! Nisamehe sana brother mwenyewe!
 
Aisee, hii imekuja accidentally brother, nilikuwa namjibu Johnthebaptist mtani wangu! Nisamehe sana bro kwa kweli nimesoma vibaya nikadhani kaandika Johnthebaptist!! Naifuta sasa hivi!!
Haina shida, nimekuelewa hivi ni kweli amepata au johnthebaptist nami alikuwa ananitania, maana tunataniana ingawa simjui
 
Kamoga kapigwa chini?aisee
 
Nakupongeza rais wangu.

Kwa kutowachagua Steve Nyerere na huyu anaejiita mwandishi mkongwe....

Hawa jamaa ni wanafiki sana. Hawafai kuwa sehemu ya timu yako. Otherwise, watakuangusha pakubwa sana.

Wanabadilika kulingana na upepo. Hawana misimamo...wanasifia ili wapate ulaji.

Mheshimiwa rais wangu, Samia.

Usiendekeze sana hawa waimba kwaya....kila siku wanatuimbia uzuri wa mbingu lakini matendo yao hayaendani na uzuri wa mbingu.

Nakuomba wakati mwingine uwakumbuke hawa vijana Mshana Jr na mama D wsnajitahidi sana kukusifia pia atleast sio wanafiki.

Ziara njema mama na asante kwa kunikumbuka.
 
Haina shida, nimekuelewa hivi ni kweli amepata au johnthebaptist nami alikuwa ananitania, maana tunataniana ingawa simjui
Kwa kweli jina la Mayalla halimo aisee, uongo wa Johnthebaptist ndiyo maana nikamtukana! Pale Kasulu kuna jina la Dollar Kusenge na mwingine Anaitwa Kashushura maana Kasulu kuna halmashauri 2 (yaani mji na vijijini). Ila kwa jina la Dollar panatakiwa marekebisho maana katokea kwenye halmashauri 2 (Kasulu na Njombe).
 
Mimi pia natamani usepe
Chadema mnataka mbaki peke yenu eee?!!🀣🀣

Kutamani sio kupata.....

ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO

#Rip JPM
#SiempreCCM
#SiempreSSH
#KaziInaendeleaKwaKasiYaKutisha
 
Wenye akili kwa kiwango gani?!!!

Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....

Ni wanasiasa wachache tu....

Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Huo utafiti umefanya wapi?
 
Basi johnthebaptist alikuwa anatania
 

Usiendekeze sana hawa waimba kwaya....kila siku wanatuimbia uzuri wa mbingu lakini matendo yao hayaendani na uzuri wa mbingu.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Sema tu wewe ni wa MMEMKWA. Ahahahaaa ishia kupiga debe.

Anyway wakafanye waliotumwa ikiwemo na kuiba kura
Sawa.....

Endelea kujidanganya mkuu....ha ha ha 🀣

Kazi ya DED's ni kusimamia maendeleo ya halmashauri.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreCCM
 
Na kwa bahati mbaya kabisa huwalishi na hawajawahi kuomba mkopo kwako ili wapate kula, Na uelewe wewe roho mbaya, Maisha yako na ridhiki yako haishikwi na mwandisgi mkongwe wala stive na hata wewe huna uwezo wa kushikili maisha ya mtu, jinga kabisa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…