Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mbele kwa mbele....Anaupiga mwingi,kazi iendelee
#KaziIendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele kwa mbele....Anaupiga mwingi,kazi iendelee
Sizitaki hizi mbichi ! Ahahahaaa[emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kila kada wa CCM anataka uteuzi?!!!
Notion hii ni mbaya kwa sisi vijana....
Mimi mtu wa ITIKADI za chama mkuu.....
Walinzi wa ITIKADI ya chama si lazima wateuliwe [emoji1787][emoji1787]
#SiempreCCM
#HastaLaVictoriaCCM
#SiempreSSH
#SerikaliMbiliMilele
Hakika....Hongera kwa wateule wote.
Teuzi ya mama imezingatia kujenga uzalendo wa taifa letu.
Taasisi zingine ni muhimu sana ziwe zinazigatia kujenga umoja na taswira ya nchi yetu, ni muhimu sana kila raia mwenye sifa akashiriki kulijenga Taifa lake, tuepuke kujaza aina mmoja ya watu.
safi sana.
sasa tuchape kazi kwa weledi na maarifa ili nchi yetu isonge mbele.
Nimeona wapi kosa lilifanyika mkuu, sikudhamiria kukujibu wewe kwa kweli! Nilikuwa namjibu Johnthebaptist, kumbe na post yako nikawa nimefungua kama najibu! Nisamehe sana brother mwenyewe!jiepushe na matusi, ungelinijibu tu kwa maneno mema tu. Mimi nimequote johnthebaptist baada ya kumuuliza, and I did not folow it any more. Sasa wewe unanitukana.
Haina shida, nimekuelewa hivi ni kweli amepata au johnthebaptist nami alikuwa ananitania, maana tunataniana ingawa simjuiAisee, hii imekuja accidentally brother, nilikuwa namjibu Johnthebaptist mtani wangu! Nisamehe sana bro kwa kweli nimesoma vibaya nikadhani kaandika Johnthebaptist!! Naifuta sasa hivi!!
Sawa.....Sizitaki hizi mbichi ! Ahahahaaa
"Watupu" ukapimwe kifaduro. Pwani je, hujaona?Wakristo watupu! Hii nchi ina nini lakini.
Mkuu una uhakika mayalla si mtumish wa serikali,,..How Mayalla na UDED wapi na wapi? huyu si mtumishi wa serikali, anaingaje kuwa DED
Yaani hilo lilitakiwa kufutwa kabisa,lingine limebaki Dar.Shetani kaletwa Tanga Jiji , Mungu wangu! Tumekwisha! Shetani Jike hilo laja wana Tanga Jiji
Kamoga kapigwa chini?aiseeAliteuliwa na Rais Hayati Dk. John Pombe Magufuli na ambaye hajamteua safari hii ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Uzuri ni kwamba aliaga vizuri pale CMG halafu hata 360 Cloudstv Hosts wa sasa ( wakiongozwa na Mtangazaji nisiyemwelewa ) Kijakazi ( Kija ) Yunus hawafanyi vizuri hivyo basi naweza kuwa na 75% ya Yeye 'Mtumbuliwaji' Hudson Kamoga kurudi hapo na Kuendelea 'Kujipendekeza' Kwake tena ili pengine Siku za mbele akumbukwe katika 'Teuzi' za Nafasi zingine.
Sema tu wewe ni wa MMEMKWA. Ahahahaaa ishia kupiga debe.Sawa.....
#KaziIendelee
#SiempreCCM
Kwa kweli jina la Mayalla halimo aisee, uongo wa Johnthebaptist ndiyo maana nikamtukana! Pale Kasulu kuna jina la Dollar Kusenge na mwingine Anaitwa Kashushura maana Kasulu kuna halmashauri 2 (yaani mji na vijijini). Ila kwa jina la Dollar panatakiwa marekebisho maana katokea kwenye halmashauri 2 (Kasulu na Njombe).Haina shida, nimekuelewa hivi ni kweli amepata au johnthebaptist nami alikuwa ananitania, maana tunataniana ingawa simjui
Chadema mnataka mbaki peke yenu eee?!!🤣🤣Mimi pia natamani usepe
Labda TISSMkuu una uhakika mayalla si mtumish wa serikali,,..
Umawajua watumish wa silikali wote..
Huo utafiti umefanya wapi?Wenye akili kwa kiwango gani?!!!
Wengi wa Watanzania hawaihitaji hiyo katiba mpya....
Ni wanasiasa wachache tu....
Taifa la watu milioni 60 wanasiasa wangapi?!!
#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
Basi johnthebaptist alikuwa anataniaKwa kweli jina la Mayalla halimo aisee, uongo wa Johnthebaptist ndiyo maana nikamtukana! Pale Kasulu kuna jina la Dollar Kusenge na mwingine Anaitwa Kashushura maana Kasulu kuna halmashauri 2 (yaani mji na vijijini). Ila kwa jina la Dollar panatakiwa marekebisho maana katokea kwenye halmashauri 2 (Kasulu na Njombe).
Nakupongeza rais wangu.
Kwa kutowachagua Steve Nyerere na huyu anaejiita mwandishi mkongwe....
Hawa jamaa ni wanafiki sana. Hawafai kuwa sehemu ya timu yako. Otherwise, watakuangusha pakubwa sana.
Wanabadilika kulingana na upepo. Hawana misimamo...wanasifia ili wapate ulaji.
Mheshimiwa rais wangu, Samia.
Usiendekeze sana hawa waimba kwaya....kila siku wanatuimbia uzuri wa mbingu lakini matendo yao hayaendani na uzuri wa mbingu.
Nakuomba wakati mwingine uwakumbuke hawa vijana Mshana Jr na mama D wsnajitahidi sana kukusifia pia atleast sio wanafiki.
Ziara njema mama na asante kwa kunikumbuka.
Sawa.....Sema tu wewe ni wa MMEMKWA. Ahahahaaa ishia kupiga debe.
Anyway wakafanye waliotumwa ikiwemo na kuiba kura
Na kwa bahati mbaya kabisa huwalishi na hawajawahi kuomba mkopo kwako ili wapate kula, Na uelewe wewe roho mbaya, Maisha yako na ridhiki yako haishikwi na mwandisgi mkongwe wala stive na hata wewe huna uwezo wa kushikili maisha ya mtu, jinga kabisa weweNakupongeza rais wangu.
Kwa kutowachagua Steve Nyerere na huyu anaejiita mwandishi mkongwe....
Hawa jamaa ni wanafiki sana. Hawafai kuwa sehemu ya timu yako. Otherwise, watakuangusha pakubwa sana.
Wanabadilika kulingana na upepo. Hawana misimamo...wanasifia ili wapate ulaji.
Mheshimiwa rais wangu, Samia.
Usiendekeze sana hawa waimba kwaya....kila siku wanatuimbia uzuri wa mbingu lakini matendo yao hayaendani na uzuri wa mbingu.
Nakuomba wakati mwingine uwakumbuke hawa vijana Mshana Jr na mama D wsnajitahidi sana kukusifia pia atleast sio wanafiki.
Ziara njema mama na asante kwa kunikumbuka.