Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Anajitoa fahamu tu.Wewe kenge kwa taarifa ni kwamba mtoroshaji rasmi wa mawe hayo amekiri kuwa yako zaidi ya mawe 28 na yote yalitoroshwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.
Piga hesabu ni nani alikuwa rais wakati huo?
Mnakurupuka kuandika upupu bila kujiridhisha kwanza na vyanzo rasmi.
Miaka 11 nyumba mawe yamesobwa (kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi)...tulipoambiwa tumeibiwa mno, tumechezewa mno....hatukuelewa. Ya Dubai umeyasikia lakini kwa nia yako iliyojificha inawezekana hujayaona.Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Kwa bahati mbaya unataka chama makini lakini kwa kutumia vigezo vya kiccm.Hii Inchi itaendelea kama CCM ikitoka Madarakani. Tatizo hatuna chama Makini cha kuongoza Nchi.
Miaka 11 nyumba mawe yamesobwa (kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi)...tulipoambiwa tumeibiwa mno, tumechezewa mno....hatukuelewa. Ya Dubai umeyasikia lakini kwa nia yako iliyojificha inawezekana hujayaona.
Wewe kenge kwa taarifa ni kwamba mtoroshaji rasmi wa mawe hayo amekiri kuwa yako zaidi ya mawe 28 na yote yalitoroshwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.
Piga hesabu ni nani alikuwa rais wakati huo?
Mnakurupuka kuandika upupu bila kujiridhisha kwanza na vyanzo rasmi.
Kwa hizi akili Tanzania bado tuna safari ndefu sana.
Hizi ndo tunaita Akili piriton 😁😁 watu wanazungumzia wizi ulio wazi jitu linakuja kuchomeka mambo yakufikirika.Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Zipo sheria zikifiatwa yanarudi.Tuache ujuaji.... hayo mawe hayapo Tarime.
Atleast hayati lijitahidi hadi Twiga minerals ikazaliwa.Makinikia yalikamatwa na likapigwa parapanda la kufa mtu, siku yanaondoka hayo makinikia uliambiwa, ni hatu zipi walichukuliwa hao wezi wa makinikia, na yalikuwa ni ya shilingi ngapi?
Wewe uharo unajua kusoma na kuandika?Huu msukule wa Magufuli hauwezi kuelewa kitu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Atleast hatati alijitahidi hadi Twiga minerals ikazaliwa.
kwani reli, barabara, ununuzi wa ndege, usambazaji wa maji ulifanyika kwa kutumia mawe? Endeleeni kushindana na malehemu na ushindi aupate malehemuUwizi wa Sasa ni Bora kuliko ule uwizi uliofanyika kimya kimya .
Kilaza .kinawaza kutema nyongo bila facts
Sio rahisi kihivyo, ila ngoja tuone.Zipo sheria zikifiatwa yanarudi.
Ndio urefu wakamba yao ulipofikiaMtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
[emoji116]
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Unashindwa kuelewa nini hapa?Nimecheka kwa nguvu, mfuate Kabudi akuambie hiyo Twiga mineral sisi kama nchi tunafaidika vipi. Ukiona profesa anaeleza mkataba ulivyo bila kueleweka vizuri, hapo ujue unatwanga maji kwenye kinu. Huenda mimi ndio sijaelewa alichosema Kabudi kwenye huo mkataba wa Twiga minerals. Hebu ww niambie Mkataba ukoje, na sisi kama nchi tunafaidika vipi na uwepo wa hiyo kampuni.
Hilo jiwe lilitoroshwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Sasa miaka 10 iliyopita alikuwa anaongoza Samia? Soma hapa ili kujua namna walivyo torosha jiwe hilo How $120 million ruby left TanzaniaMtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
👇
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
DahNa wizi utazidi kuendelea tu, Mama kashindwa kuongoza nchi, kakimbia Marekani kwenda kutizama Studio za filamu za huko. Hivi nani ni mshauri wa huyu Mama zaidi ya Kikwete jamani, nchi inamshinda.