Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

Awamu ya tano ndio iliongoza kwa wizi maana uamuzi ulikuwa wa mtu mmoja na ni marufuku mtu mwingine yeyote kuhoji.
 
Nenda kafundishe madrasa. Huku JF haufai kabisa.
 

Akili zako ziko active retarded
 
Wala rushwa wakubwa ni hawa viongozi, mwaka jana zilipigwa pesa pale hazina Waziri Mkuu akaunda tume mpaka leo kimya
Hawa polisi, Tanesco, kiujumla tuseme watumishi waajiriwa serikalini hawa si wa ku deal nao, hawa mkuu wangu tunajisumbua tu.

Mzizi wa hili suala upo juu, hapo juu hata takukuru yenyewe inakuwa haina huo uwezo, hata kama wakijua wahusika, kumbuka hao ni viongozi walio top top.

Tatizo lianze kushughulikiwa toka juu kuja chini, uone kama hii tabia itakuwepo.
 
Tuanze na Tanzanite zilizokua zinavushwa kwenda kwa PK
 
wakojani wanaifilisi Bara. tangu ukoloni ni kawaida yao kushirikiana na wezi kutoka nje ya Tanzania kuiba mali za Bara.
 
Uwizi wa Sasa ni Bora kuliko ule uwizi uliofanyika kimya kimya .
Hivi ndugu mpk asahiv hebu twambie ni nini cha maana ambacho JPM kaiba kikaonekana kwa wananchi...? Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kwa jambo dogo tu... He was a clean man, acheni kumchafua
 
Hivi ndugu mpk asahiv hebu twambie ni nini cha maana ambacho JPM kaiba kikaonekana kwa wananchi...? Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kwa jambo dogo tu... He was a clean man, acheni kumchafua
mnatumia nguvu nyingi kumsafisha ila hasafishiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…