Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

Hahah. hao palestina ndo hovyo kabisa. imagine pamoja na nyerere ku sympathize nao, wakaenda kupigana upande wa Idd amini kwenye vita ya kagera. waarabu hawafugki kama kunguru
 
Mbona unaanzia agosti Mkuu.Mimi nimezaliwa,nimekuta hao wanapigana.Sasa unasemaje Agosti.Mimi nadhani twende kwenye Historia tuone nani wa kwqnza mkorofi.Maana tunaanzia katikatikati.
 
Sisi tunalaani Hamas kujichanganya na wanawake na watoto bila kusonga front kupigana kiume
 
Shida ilianza pale bwana fulani alipowadanganya wadanganyika kuwa alipaa mbinguni kwa kutumia Buraq.
 
Kati ya hao uliowataja kuna muislam?
 
Kama Wakurdi hawana haki ya kumiliki ardhi, kwanini Wapalestina wawe na haki hiyo.
 
Kati ya hao uliowataja kuna muislam?
Wapo ila sina data exactly percentage, Lebanon/Syria/Palestine ndio Nchi za kiarabu zenye wakristo wengi. So majority ya hao ni Wakristo.

Waisilamu wengi wamebaki Palestina na Lebanon kupigana na Israel na wakristo wengi ndio wana Finance hivyo vita kwa kuwasaidia waisilamu.
 
Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.

Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
View attachment 3139961
Kuna wana harakati basi? Kuna wahuni na vilaza ambao huwa wanaendeshwa kwa hisia zaidi.huwezi wasikia wakisema anything abt this. Na wengine wanampongeza Mturuki.
 
Hata wapalestine hawapendwi.ndo maana Egypt imeziba mpaka kwa ukali sana

 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-28-21-20-05-599_com.twitter.android.jpg
    323.6 KB · Views: 2
Moja, hawakwenda sehemu inayoitwa Palestina, walirudi katika nchi yao ya asili na walipokelewa na Wayahudi wenzao waliokuwa wakiishi hapo.

Pili, hao hawakuwahi kuwa wazungu, ndiyo maana wazungu waliwabagua, Huo uzungu wao ni kwa mujibu wenu ninyi.

Nimekuuliza, inakuwaje Wayahudi kutoka Ulaya muwaite wazungu halafu hao akina Carlos Slim na Bukeke mnawang'ang'ania kuwa ni wa middle East ilihali hawakuwahi kuishi huko na babu zao ndiyo ndiyo walitokea huko middle East? Zaidi wamezaliwa na familia ambazo mama zao ni kutoka latin America lakini mnawang'ang'aniza kuwa ni wapalestina, Lebanon na Wasyria?
 
Hahah. hao palestina ndo hovyo kabisa. imagine pamoja na nyerere ku sympathize nao, wakaenda kupigana upande wa Idd amini kwenye vita ya kagera. waarabu hawafugki kama kunguru
Hiyo ni special case usiongee kwa ku generalize namna hiyo.
 
Kama Wakurdi hawana haki ya kumiliki ardhi, kwanini Wapalestina wawe na haki hiyo.
Ni wapi ambapo nimesema Kurdi hawana haki ya kumiliki ardhi!?
Je mzozo wa kurdi na Palestina unafanana!?
Palestina iliwahi kuwepo hivyo inapigania ardhi yake.
Kurdi lilikua miongoni mwa makabila ndani ya Anatolia.
Kwanini makabila mengine yakubali kuwa chini ya tawala zao wao kurdi pekee ndio wakatae kaka!?
Basi sawa pambaneni sehemu moja mjulikane mnapigania nini IRAQ,IRAN,SYRIA NA UTURUKI kote wanaleta machafuko.
Au hizo nchi nne zote ni ardhi zao!??
 
Carlos slim ukimpima Dna yake hapo ni levantine 100% ila Ashkenazi sio.

Hivi vitu vipo proved na sayansi, kwanini niseme Ashkenazi na sio Mizrahi ama sepharadic jews? Nimekuwekea video kibao kuna studies kibao mpaka Havard zipo hili sio jambo la kufikiria ni proved kabisa.

Na pia wamepokelewa na Wapalestina, Ashkenazi walivyokuja mwanzo kabisa walienda Vijijini hii Ramani ikionesha kabla ya 1948 walikua wapi
Wayahudi wa Palestina wana Dini sio Atheist kama Ashkenazi, so wao walikua wakiishi kwenye Holy sites kama Jerusalem, Ashkenazi ni settlers kama settler wengine unaowaona Africa sehemu kama Zimbabwe, wao wanapora ardhi, wanalima etc.
 
Mbona unaanzia agosti Mkuu.Mimi nimezaliwa,nimekuta hao wanapigana.Sasa unasemaje Agosti.Mimi nadhani twende kwenye Historia tuone nani wa kwqnza mkorofi.Maana tunaanzia katikatikati.
Nimeanzia Agosti kwa kulenga mzozo wa Oktoba 7 2023.
Ila kama unataka kuanzia way back basi tuanzie 1917 ambapo Palestina ilikua chini ya Great britain.
Toka mwaka huo wayahudi walilazimisha kuunda taifa hapo mid east na mtu wa kwanza kuwapinga na kuwakatalia ni Great britain.
Alikuja kukubali 1947 kwa msukumo wa kidiplomasia na USA na mapinduzi waliyojaribu wayahudi 1946 kupindua Mandatory government of British in Palestine.
1948 resolution ya kwanza ilipoundwa wao walikua wakwanza kutambuliwa kama taifa ila Palestina ilikataa resolution ya kwanza haikuwaridhisha.
Na hiyo resolution ni Israel kupata 54% ya ardhi na Palestina kupata 43% na 3% iwe internationally governed ambayo ni Jerusalem.
Waarabu wakihangaika na resolution nyingine Israel ilianza kupanua makazi kwa bunduki.
Nani hapo utasema ni mkorofi!?
PLO nao walipoanza kujibu kwa silaha wakatangazwa magaidi.
Haijapatikana suluhu ridhishi kwanini Israel ianze kupanua makazi kwa jeshi!?

Kama kuna elimu tofauti tujuze mkuu.
 
Tayari umeshaanza story zenu za vijiweni.
Hata hiyo maana ya Adhkenazi nayo hata hamuijui.
Ashkenazi hao ni descendants wa uzao wa mtu fulani, hiyo haimuondolei, au kumpunguzia Uyahudi wake.
Mtu kuwa Mgogo haimfanyi kuwa yeye ni Mtanzania zaidi ya Mnyakyusa au Mchaga au Mzanzibar.
 
Nafahamu still haijamake sense kwenye hoja yako kumtumia Sadam kuvalidate Uturuki ni kama Mimi nitumie Mauaji ya wa Afghanistan yaliyofanywa na Urusi kama ushahidi wa mauaji ya Wa Afghanistan yaliyofanywa na Wamarekani.
Nachosema waturuki waliopo Uturuki Syria iraq au Iran lao moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…