Kipindi kile huu mgogoro ulikua umechukuliwa kidini zaidi.Special case kivipi kuua askari wa inchi inayo kuunga mkono eti kisa kumsaidia rais muislamu (idd amini) dhidi ya rais mkristo ( Nyerere) bila kujali alikua anawaunga mkono. Waarabu hawafugiki
Wakurd wanapitia hali mbaya kama tu Wapalestina, na pengine mbaya zaidi maana wameipitia kwa miaka mingi. Waturuki walihamia hapo waliwakuta Wakurd. Leo wanawapiga mabomu. Ni jamii kubwa kabisa ya watu duniani ambayo haina taifa lao wenyewe.
Uturuki imeua raia wangapi kwenye hayo mashambulizi?Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.
Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
View attachment 3139961
Kulelewa kikatoliki kunaondoa vipi asili yake? Kama ni mwarabu wa Syria ni mwarabu wa Syria haijalishi Kulelewa kikatoliki ama ki budha.Jamaa wanamngangania hadi Steve Jobs ilhali hajawahi kuishi Syria na kalelewa Kikatoliki'
Propaganda hasi hizi...Mkuu siku hizi unapoteza mantiki katika mada zako.
Hao wakurdi hadi Iraq,Iran na Pakistan hawapendwi.
Wakurdi ni jamii ya watu wakorofi kila wanapoenda wanasababisha fujo.
Wanaotega mabomu huko Iraq ni wakurdi.
Ukiwauliza sababu ya kufanya yote hayo hawana majibu.
Hata wasukuma ni jamii kubwa hapa nchini. Je, na wao wadai nchi yao ?Wakurd wanapitia hali mbaya kama tu Wapalestina, na pengine mbaya zaidi maana wameipitia kwa miaka mingi. Waturuki walihamia hapo waliwakuta Wakurd. Leo wanawapiga mabomu. Ni jamii kubwa kabisa ya watu duniani ambayo haina taifa lao wenyewe.
Tunazungumzia duniani we unasema Tanzania.Hata wasukuma ni jamii kubwa hapa nchini. Je, na wao wadai nchi yao ?
Kwa hiyo Tanzania ni motoni, haipo duniani ?Tunazungumzia duniani we unasema Tanzania.
Hakuna cha propaganda hapo mkuu.Propaganda hasi hizi...
Ndio maana Israel ameziba masikio, yuko busy kushughulika na magaidi ya kipalestina.Uko sahihi mkuu, wakurd wanaonewa sana
Hahah uturuki ingekuwa ni nchi ya kikristu ndio ungeona malalamiko mitandaoni
Sources zako zote zimekukataa ulizoleta zimekukataaSo huna source yoyote kutetea maneno yako? Mahaba Niue hadi unabishana na Ashkenaz wenyewe wenye asili yao? Wasalimie sina time ya maneno ya Kanga.
Wanachopigania Wakurdi hiki hapa Kurdistan RepublicNi wapi ambapo nimesema Kurdi hawana haki ya kumiliki ardhi!?
Je mzozo wa kurdi na Palestina unafanana!?
Palestina iliwahi kuwepo hivyo inapigania ardhi yake.
Kurdi lilikua miongoni mwa makabila ndani ya Anatolia.
Kwanini makabila mengine yakubali kuwa chini ya tawala zao wao kurdi pekee ndio wakatae kaka!?
Basi sawa pambaneni sehemu moja mjulikane mnapigania nini IRAQ,IRAN,SYRIA NA UTURUKI kote wanaleta machafuko.
Au hizo nchi nne zote ni ardhi zao!??
Hizi ngonjera za kuuwa wanawake na watoto zimepitwa na wakati kipigo kinaendelea hapo Gaza na LebanonWanaua wanawake na watoto ama wanapigana na wanajeshi wanaume wenzao? Hili ndio jambo la kwanza linalo Discriminate vita vingi Duniani na kinachoendelea Israel.
Sawa wakitumaliza sisi wanafuatia ni wajukuu zako, Juzi tu babu zako walikua wanawekwa kwenye Museum kama wanyama watu wanaenda kuwa angalia, leo ni watoto wa Gaza kesho watakuwa wa Egpty kesho kutwa ni wako.Hizi ngonjera za kuuwa wanawake na watoto zimepitwa na wakati kipigo kinaendelea hapo Gaza na Lebanon
Nani kaweka hio mipaka na kuwatenganisha Wakurdi?Wanachopigania Wakurdi hiki hapa Kurdistan RepublicView attachment 3140800
Kama wanakosea kupigania ardhi yao ambayo haikuwepo basi Wapalestina vilevile wanakosea kupigania ardhi yao ambayo haikuwepo. Kama unadai Palestina ilikuwepo maana yake ilikuwa na utawala, Mfalme/Emir/Rais/Chifu wa Palestina aliitwa nani?
Wakurdi wanapigania nchi zote hizo sababu wao wako mipakani wanagawanywa oqnde zote kisha wanakataliwa kila upande hivyo basi wawe na kwao. Kama wanachofanya Wakurdi ni ugaidi, na wanachofanya Hamas na Hezbollah ni ugaidi vilevile.
Unaona kaka sasa unavyokua unayabananga mambo!??Wanachopigania Wakurdi hiki hapa Kurdistan RepublicView attachment 3140800
Kama wanakosea kupigania ardhi yao ambayo haikuwepo basi Wapalestina vilevile wanakosea kupigania ardhi yao ambayo haikuwepo. Kama unadai Palestina ilikuwepo maana yake ilikuwa na utawala, Mfalme/Emir/Rais/Chifu wa Palestina aliitwa nani?
Wakurdi wanapigania nchi zote hizo sababu wao wako mipakani wanagawanywa oqnde zote kisha wanakataliwa kila upande hivyo basi wawe na kwao. Kama wanachofanya Wakurdi ni ugaidi, na wanachofanya Hamas na Hezbollah ni ugaidi vilevile.
Hao wakurdi huko duniani wamesambaa mmoja mmoja.Tunazungumzia duniani we unasema Tanzania.
Huyo jamaa huwa sio mleta hoja za mashiko.Kuhusu hao wazungu.
Wakati wanakuja kutokana Ulaya walipokelewa kwa Amani hapo Palestina usisahau
View attachment 3140387
Wakati wanashushwa kwenye Meli hilo bango lao wanawaambia wapalestina Wajerumani wamevunja Familia zetu tafadhali mzivunje matuamaini yetu.
Wapalestina waliwapokea na mpaka Ardhi walinunua, asilimia 6 ya Ardhi ya Wapalestina Ashkenazi walinunua kihalali.
Hilo halikuwatosha walikua na mambo yao wenyewe kisiri siri taratibu wakaanza kupora Ardhi ya Palestina hadi leo.
Je hili ni sawa na wapalestina ambao wapo south America? Sijawahi sikia Wapalestina wa South America waki chukua Ardhi ya wazawa na kuwa toa kwenye nyumba zao, badala yake Vice versa is true na wapalestina wamelisaidia hilo bara toka Bara la Giza kama Africa mpaka kufikia uchumi mkubwa leo hii.
So ni vitu viwili tofauti unavyotaka uvifananishe hali ya kuwa havifananishiki.
Mfalme au watawala wa Palestina walikuwa kina nani. Mji mkuu wa Palestina ulikuwa upi.Unaona kaka sasa unavyokua unayabananga mambo!??
Palestina ilikuwepo toka enzi.
Palestina ilikuwa kama mkoa wa Ottoman empire. Haina historia, haina milki, haina watawala waliopita, sasa taifa gani halijulikani limetoka wapi.Na ndio maana hata katika historia ya Muingereza miongoni mwa maeneo aliyoyatawala ni Palestina.
Haijawahi kuwepo kama ambavyo Palestina haijawahi kuwepo. Sasa kesi zao ni moja, kwanini Wapalestina wawe wapigania haki alafu Wakurdi wawe magaidi?JE UNAWEZA KUNIAMBIA KURDISTAN ILIWAHI KUWEPO KABLA!???
Kama ambavyo Palestina ulikuwa mkoa tu ndani ya Ottoman empire. Ndio maana hakuna Mfalme wa Palestina wala royal family wala Repuplic wala mji mkuu wala historia ya taifa.Kurdi ni kabila kama unavyoona Fursi.
Kurdi ilikua kabila ndani ya Anatolia au Persia.
NARUDIA TENA,KURDI ILIKUA KABILA NDANI YA ANATOLIA/PERSIA/IRAN.
Wakurdi wana claims zaidi ya ndani ya Iran. Wamasai hawana historia kama taifa, hawajawahi kuwa na mji mkuu ingawa wana machifu wao, hawajawahi kuwa na mpaka sasa wakianza kudai nchi yao tutawashangaa kama Wakurdi na Wapalestina.KURDI walitakiwa wawe chini ya IRAN HADI SASA KWASABABU KURDI ILIKUA NI MIONGONI MWA MAKABILA YA KIAJEMI.
Ni sawa useme wamaasai waanze kupambania taifa lao.
Sasa remnants wa Persia hawawataki, na hawatakiwi kwingineko wanabaguliwa. Ni sawa kulazimisha Austria na Hungary kurudia kuwa nchi moja kisa "mbona zamani zilikubali kuwa Austro-Hungary".Huo si uwendawazimu!??
Mbona tangia karne zilizopita walikubali kuwa chini ya himaya moja ya Persia???
Hawajataka kujitenga karne hii, wameanza tangu karne iliyopita. Walianza wanataka watambuliwe, ikashindikana wakataka basi wakae peke yao. Kila jamii zinazowazunguka zinawaona makafiri.Kwanini karne hii ndio watake kujitenga!??
Huko Syria na Iraq hapamuhusu huyo KURDI.
Kurdi panapomuhusu ni IRAN na Uturuki ambapo Uturuki yenyewe imeiba sehemu ya IRAN/ANATOLIA ilipohama toka Central Asia.