Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Wanaenda kulinganisha na vya sokwe pamoja na Wanyama wengine ili wajue sisi ni Binadamu au viumbe vingine
 
Nikuulize swali dogo tu.
Wanunuzi wanafanyia nini hivyo vidole vya Bei mbaya?
Naomb nikujibu japo haujaniuliza mimi, kwa asilimia kubwa kama ni kweli hivyo vidole vinauzwa maana yake lazima kuna connection na mambo ya kishirikina( ufreemason), kwa hiyo pale damu inatoka na kile kidole vinaenda kwenye mzimu/majini ambayo wahusika watapata utajili mara dufu maana wanakua wametimiza madhart.

Hujawahi sikia mtu anatafuta pesa ya zaman tena anainunua kwa pesa mingi, au mtu anatafuta matiti ya mwanamke anakod watu waue yeye apewe saa nyingin zike ishu za maalbino.

Kweny ushirikin vidole vina faida.!
 
Waambie waje bongo tena wawe na kontena za kubeba mizigo, huku watu wamevurugwa
 
Mambo mengine kutiana majaribuni tu[emoji16][emoji16][emoji16].

Hivi toka unazaliwa umeshawahi kuona kazi ya kidole gumba cha mguuni kweli!!!mkononi ni kutype ktk smartphone[emoji23]
Vipi mzee unataka ukatoe vyote?
 
Well spoken
 
Utajiri wa kizamani huo miaka ya 90...miaka ya zamani mkoa mmoja nyanda za juu kusini Kuna tajiri mmoja maarufu alikuwa anakata vidole vyake aongeze utajiri..Hadi ilifika akawa anaendesha gari Kwa mkoni mmoja .
 
Haya mambo huwa yanajirudia. Hapo nyuma kidogo vichwa vya watu wenye vipara vilitafutwa sana kwa maelezo kwamba utapata utajiri mkubwa. Kuna watu walikamatwa wakiwa wameficha vichwa hivyo tayari kwenda kuuza nchi moja ya jirani. Lakini ukweli ni kwamba ni tetesi tu zilizagaa na watu kwa uroho wa pesa wakaanza kuufanyia kazi. Kwa sasa Zimbabwe inapitia kipindi kigumu Sana cha uchumi. Mwanablogu kaiona fursa kutoa tetesi hizo ili kuwafurahisha baadhi ya watu na pia kuwafanya wale wasio na fikra sahihi kuanza kuchacharika kukata vidole vya watu kwa tamaa ya mali. Tafakari.n
 
Wanavipeleka wapi hivyo vidole?
 
Nani kakwambia ni wazungu ndio wananunua hayo ma vidole? Kwanza ni uzushi tu hakuna aliyethibitisha hiyo Kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…