UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

Hii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.

Hilo hata mi nahisi uwezekano wa kutokea ni mkubwa rais ndo chanzo cha yote hayo, kaa kimya tu bila any say wakati ye ni kiongozi mkuu!

Yo kwa yote amedhihirisha ni kwa namna gani mwanamke ye yote hafai kupewa uongozi wo wote ule po pote pale!

MUNGU SIO MJINGA KUTOKUWASHIRIKISHA HAO VIUMBE KWENYE SHUGHULI ZAKE PO POTE PALE
 
Hata mimi nilikunywa usiku kucha na kuchinja mbuzi na wenzangu! Yule hakuwa mtu!
 
Ukiona hivyo tambua tu UONGOZI wa juu ni lege lege mtu kutamka hivyo anajua kabisa hawezi wajibishwa wala kukemewa

Ni dhahiri shairi mama uongozi hauwezi kabisa!
 
Kama rais samia ataruhusu haya yatokee na vyombo vya dola visiwakemee hawa basi hakuna shida mkimgusa lissu na nyie watu wa chato mjiandae kwa lolote mtakalolipata toka moshi arusha mbeya singida na kwengineko ccm kemeeni hili la sivyo mtajuta!
Nasikia bado Ana pamba masikioni
 
Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
toa upuuzi wako hapa kumuita mtu dictator uhwara ni tusi? hembu eleza matusi ambayoalishawahi kutukanwa huyo magufuli usiwe kasuku mwehu wewe
 

Litakuwa tamko kutokea kwa watu was jamhuri ya Chatto.

Kama ndivyo na kama huyu mwasi angali guru uraiani IGP na awajibishwe kama naye yungsli ofisini.

Wendawazimu was namna hii si wa kufumbiwa macho.
 
Hii nchi siielewi inachotaka kwa sababu hata mwenyekiti wa CCM alishamkana JPM na Ideologies zake ndio maana amekumbatia mafisadi, wafanya biashara wakwepa kodi n.k. alishatamka mbele ya watu kwa huyu mtu wa GSM kwamba yeye hataguswa. Sasa hawa UVCCM chato wanafikiri CCM bado ipo na JPM kweli?
 
siasa inapochukua akili za watu
 
Kiukweli hii sio sahihi. UVCCM kwa ujumla wamekuwa na upuuzi mwingi sana. Mimi siwakubali kabisa hawa vijana wa hovyo. Alichotamka huyo mwenyekiti wa CCM ni kama tu kuanzisha machafuko bila sababu. Halafu kakosea sana kutamka huu ushuzi wakati huu chama kinashambuliwa kuwa kinahusika na kuchoma gari la Chama Cha Mbowe. Ninadhani mwenyekiti wa CCM na viongozi wa juu watawachukulia hatua za kinidhamu hawa wahuni wa Chato wanaotumia UVCCM vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…