Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wajaribu .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii NCHI ipo mbioni kupasuka ni suala la muda. Kuna mpasuko Mkubwa wa kidini, kisiasa na kiitikadi.
Hata mimi nilikunywa usiku kucha na kuchinja mbuzi na wenzangu! Yule hakuwa mtu!Lissu aache ujinga,ninakumbuka wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli alikuwa anaandika twits za kufurahia sana tena sana.Yaani hata asiende huko kujichoresha kwa jinsi alivyokuwa anamtukana Magufuli na jinsi alivyofurahia kifo chake waziwazi kabisa.Magufuli mwenyewe alitamka "Mtanikumbuka"Hata miaka mitatu haijatimia kweli tunamkumbuka na hata waliofurahia kifo chake wanamkumbuka.
Alimtukana tusi gani!!?
Lisu alimkosoa jiwe na si kumtukana!!
Kuna tofauti kati ya kutukana na kukosoa!!
Lengo lao liko wazi: kututisha ili tuogope kufanya mikutano ya hadhara wilayani Chato leo. Hatutishiki & hatutakubali kutishwa. Tunaelekea mkutanoni Chato sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu njoo kwangu kama sijakubanduaMTANZANIA ANA RUHUSA YA KWENDA POPOTE ILI MRADI AVUNJI SHERIA
HEBU JITOKEZENI HADHANI MJULILANE
Nasikia bado Ana pamba masikioniKama rais samia ataruhusu haya yatokee na vyombo vya dola visiwakemee hawa basi hakuna shida mkimgusa lissu na nyie watu wa chato mjiandae kwa lolote mtakalolipata toka moshi arusha mbeya singida na kwengineko ccm kemeeni hili la sivyo mtajuta!
Ukiwa na pesa kijana hata miaka 50, ukiwa hali ngumu 35 inakustaafisha ujananiHivi, umri wa kijana huanzia wapi na kuishia wapi? Maana...
kudhuru kaburi = kuzuru kaburiKudhuru kaburi ni tendo la kiibada hivyo kama familia ya Magufuli imeridhia Tundu Antipas Lisu adhuru kaburi la Mpendwa wao sioni Sababu ya UVCCM Walio katika Dini mbalimbali kuingilia Kati
Ukristo ni Upendo na Msamaha!
Maoni yake kikatiba.Lisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
toa upuuzi wako hapa kumuita mtu dictator uhwara ni tusi? hembu eleza matusi ambayoalishawahi kutukanwa huyo magufuli usiwe kasuku mwehu weweLisu alimtukana sana magufuli, alikuwa anamuita dikteta uchwara
Kumekucha. Mbwa ukimzoea sana atakufata hadi msikitini.
Ndiyo yanayotokea Chato, umoja huo wa vijana Chato unatoa tamko bila hofu ya dola kuwa hawatakubali kuona Lissu anakanyaga Chato na watafanya lolote huku wakitumia jina la Rais Samia kama kinga ya uovu wao.
Najiuliza, hivi UVCCM wamefikia mahali pa kutangazia umma kuwa fulani aende wapi na wapi asiende Tanzania hii? Hivi hao wachovu wanauwezo wa kuwa zuia vijana wa CHADEMA kama wataamua kuwalinda viongozi wao au watategemea nguvu za dola?
Na serikali mbona iko kimya kwenye tamko la kihuni kama hili huku tayari uvunjifu wa amani na gari kuchomwa moto tayari? Bandari imeleta haya yote, naiona DAMU ikienda kumwagika maana hoja zimeshindwa kujibiwa.
Likikuwa shetani hatari sana lile..Hata mimi nilikunywa usiku kucha na kuchinja mbuzi na wenzangu! Yule hakuwa mtu!
siasa inapochukua akili za watu