UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

😭😭😭😭 waliteka na kutesa sana sijuwi mwisho wake walijua wa Tanzania wote zaidi ya 60M wataungana mkono mawazo yao!
Sijui walipa pata wapi haya marifa ya kishamba ya kuteka na kutesa 😭😭😭
Hakika Mungu ni mwingi wa rahma!!
Tulikuwa tumesha fika pabaya pabaya kuliko!!😭😭
 
Amina Amina Amina
 
Sasa wameanza kuona mambo yamebadilika haraka sn
 
Hii ni nafasi yetu watanzania kuzidisha maombi kwa mama yetu Samia awatupe kabisa watu kama huyu Hery James na Sabaya
 
Anayeomba radhi ni yeye James au UVCCM?

Manake chuki huchochewa na mtu mmoja mmoja!
Ameomba kama Mwenyekiti wa UV CCM, na kasema wazi kuna mahali CCM ilichochea uhasama.
Nakushauri na wewe Mwenyekiti wa wanaCCM wa JF mtuombe radhi watanzania wa JF kwa jinsi mlivyosababisha uhasama.
 
Ameomba kama Mwenyekiti wa UV CCM, na kasema wazi kuna mahali CCM ilichochea uhasama.
Nakushauri na wewe Mwenyekiti wa wanaCCM wa JF mtuombe radhi watanzania wa JF kwa jinsi mlivyosababisha uhasama.
Hawa watu hukumu yao ni kuwafungulia mashitaka ya uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…