Kitaeleweka tu mkuu
 
Dalili zote kuna uwezekano akakamatwa kabla walioenda kumpokea hawajamuona!!
 
Utauwa watu kwa pressure.

Hapa alikuwa Bole International Airport:

View attachment 1518234
"If it had not been for LORD who was on my side, when men rose up against me, Then they would have swallowed me alive when their wrath was kindled against me"

"Blessed be LORD who has not given me as prey to their teeth. My soul has escaped as a bird from the snare of the fowlers, the snare is broken and I have escaped. My help is the name of the LORD, who made HEAVEN and EARTH"

Psalmist
 
Hi hakuna hata Online Channel inayoonesha live mapokezi haya tukaona hayo mapokezi? Au wanahabari wamepigwa mkwara kuonesha. Lakini hata CHADEMA Online nao naona wako kama hawako kwa Makamu Mwenyekiti wao. Poor Bongoland hapa ndio huwa tunakosea sana wanahabari!
 
Kwani ccm uwanja wa uhuru wamevaa mask?!

Kwani CCM walikimbia Bunge kwa sababu ya COVID-19? Hapa natumia tu mfano huu mmoja kuhoji msimamo wa CHADEMA na vyama vingine katika kusimamia sera zao. Ukiweka ushabiki pembeni utanielewa sana!
 
Kila la kheir mh Lissu. Hope police watatumia busara Na hekima katika ujio huu bila kutumia nguvu
 
Nasema wazi CDM wamejitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kumpokea Lissu, na zaidi sikutegemea kuona mpaka watoto wa kike wengi namna hii tena wenye nyuso zilizojaa tabasamu kubwa hivi!.
 
An enemy of the people may also be A man of the people. Dada nipe kipande cha nazi nitafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…