Haya tupeni update ndege ishatua tayari
 
A Bible is a letter with nice messages and promises from God the Almighty.
 
Mbowe amewasili hapo uwanjani?

Au ndiyo mnataka kututumia sisi akina kajamba nani ili tukung'utwe na wazee wa vibaka vyekundi ili kutangaza jina la chama

Wewe wala sio CHADEMA uko hapa kupiga propaganda ili watu wasiende kumpokea Lissu. Halafu kwenda kumpokea mtu sio kosa sasa sijui kwanini unaleta habari za virungu.
 
Pale taifa kuna social distance? Waombolezaji wote wamevaa barakoa? Hivi wewe unatumia kiungo gani cha mwili wako kuandika huu upuuzi?

CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…