MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Mask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;wafuasi wake kuvaa masks? Huoni kwamba katika hili CHADEMA kinacheza ngoma ya CCM?
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha