wafuasi wake kuvaa masks? Huoni kwamba katika hili CHADEMA kinacheza ngoma ya CCM?
Mask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha
 
Its a mammoth crowd!

Viva Lissu, viva kamanda mpigania haki, karibu nyumbani, tunafurahi kuuona tena uso wako, karibu nyumbani umwage pombe, hatutaki gongo iendelee kutawala na kuharibu taswira ya Tanzania yetu nzuri


Aaaah ndugu yangu taratibu please. Mheshimu mwenyekiti wangu wa chama changu. Twende na hoja.

Karibu Lissu. Mlinzi wako mkuu ni MKONO WA MUNGU.

Hata sasa tumeuona mkono wa Bwana
 
Una shida mahali, maneno yako sio ya mwanamke aliye sawasawa

nikirefer ishu ya Babutale na comment zako hapa nashawishika kusema wewe hauko sawa
Kweli mimi siyo mwanamke aliye sawa sawa. Mimi ni mwanamke na robo tatu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wasiempenda kaja.

Tz ya furaha inanukia.
 
Ati kaomba msaada unajua maana ya Taasisi ya Rais we kapuku ..unadhani yule dosti wenu kuna ata sisimizi anamstua CHADOMO kwa vituko bhana umnastahili pongezi.
Wewe utakuwa ndata tu! akili huwa matakoni daima! unangojea amri ya kupiga! wenzako wameshashtukia mchezo wako kimachale! wameruhusu rais wao apokelewe
 
Mwenye link tafadhali.. nione mapokezi laivu.. naona kwa TiVi.. hakuna laivu..

Niwaone akina wadonoaji kibodi.. wa humu.. wakicheza.. singeli..kwa furaha ya kumwona kiongozi wao Lissu..

2020 JPM bila mashaka.. hongera kwa Polisi.. kuwaruhusu wamufurahie kiongozi wao.. wenzangu hawa humu pia..
 
Kunywa panado maana naona unaweweseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…