CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
Contradict my foot!
 
Wewe utakuwa ndata tu! akili huwa matakoni daima! unangojea amri ya kupiga! wenzako wameshashtukia mchezo wako kimachale! wameruhusu rais wao apokelewe
Kimbia kamanda ukawahi kupakatwa na Makaveli utakosa kuweka rekodi ohoooo... usisahau na selfie wakati anakupakata
 
Martine Ruter king ni Nani?
Nimejaribu Ku Google hawamjui pia.
Mataga unaandika madudu gani?
Una uhakika na unacho KINeNa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…