Ukiona lugha ya hivi inatolewa na mtu mzima, ujue roho imemuuma kwa kiwango cha juu, hivyo anakosa lugha zote za staha za kuwakilisha hisia zake za chuki, anaishia kuongea usenge@rema.

Ana hasira za wajumbe huyo! Alipewa teuzi akatamani vya zaidi kwa kiherehere chake wajumbe wamempiga spana


Yeye na Chabruma (kigamboni) hawana hamu na wajumbe
 
Magufuli aliahidi uchaguzi wa huru na haki ili wakipigwa wasilalamike hovyo.
 
Naona members wengi wa CCM wenzangu wameukimbia huu uzi😎😎😎

Hahaaaa tupo wachache tunaojali utu kwanza.

TL ni muhanga haipaswi kufanyiwa figisu tena. Ila kwenye box la kura hawezi kutoboa

NB: Tulikua tunasema uwanja mweupe sasa sijui mapolis wanefanyaje tena wameruhusu watu wamejaa na sare zao 😄😄😄😄

Kwanini hawataki kufwata maagizo lakini?
 
Naona wapinzani wamekubali kuwa corona hamna kama serikali ilivosema
 
Wewe utakuwa ndata tu! akili huwa matakoni daima! unangojea amri ya kupiga! wenzako wameshashtukia mchezo wako kimachale! wameruhusu rais wao apokelewe
Hahahha.. Pamoja na matusi yote lakini moyoni mwako unajua kabisa hamna kitu hapo!

Hahahha... Ngojeni tu kipigo hapo oktoba
 
Bwabwa baada ya kuzidiwa mmegeuza story si mlisema watakaoenda watavunjwa miguu tukisema nyie ni nguruwe mnakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…