Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Kapicha tafadhari mkuu,, au videoHatimaye katua .. ni vifijo na nderemo hapa uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapicha tafadhari mkuu,, au videoHatimaye katua .. ni vifijo na nderemo hapa uwanjani
Ukiona lugha ya hivi inatolewa na mtu mzima, ujue roho imemuuma kwa kiwango cha juu, hivyo anakosa lugha zote za staha za kuwakilisha hisia zake za chuki, anaishia kuongea usenge@rema.
Magufuli aliahidi uchaguzi wa huru na haki ili wakipigwa wasilalamike hovyo.Mwenye link tafadhali.. nione mapokezi laivu.. naona kwa TiVi.. hakuna laivu..
Niwaone akina wadonoaji kibodi.. wa humu.. wakicheza.. singeli..kwa furaha ya kumwona kiongozi wao Lissu..
2020 JPM bila mashaka.. hongera kwa Polisi.. kuwaruhusu wamufurahie kiongozi wao.. wenzangu hawa humu pia..
[emoji38][emoji38]link hatukupi wewe angalia msiba wa Raisi wakoLinkli wapi nibatazame?..
Naona members wengi wa CCM wenzangu wameukimbia huu uzi😎😎😎
Hatimaye katua .. ni vifijo na nderemo hapa uwanjani
Linkli wapi nibatazame?..
Nipe number yako WhatsApp nikutumie picha yangu.Natamani nikuone ukoje
Hahahha.. Pamoja na matusi yote lakini moyoni mwako unajua kabisa hamna kitu hapo!Wewe utakuwa ndata tu! akili huwa matakoni daima! unangojea amri ya kupiga! wenzako wameshashtukia mchezo wako kimachale! wameruhusu rais wao apokelewe
Sijawahi hata kwenda kwa mganga tokea nizaliwe miaka 34 iliyopita.Namaanisha akili zako ziko kishirikina zaidi na yawezekana hata dish limeyumba
Usiye mpenda kafika hahahahahaha
Nakuja inbox, nitupie huko mjukuu wanguNipe number yako WhatsApp nikutumie picha yangu.
Bwabwa baada ya kuzidiwa mmegeuza story si mlisema watakaoenda watavunjwa miguu tukisema nyie ni nguruwe mnakataaUzuri wa Uwanja wa taifa NI moja ya vitu vilivyo nifurahisha Sana. Kwa macho nimejionea mwenyewe. Pongezi kubwa kwa CCM na Maraisi mkapa, Kikwete na hasa magufuli.
Napongeza pia polisi kuwarusu wafuasi wa tundulisu wajionee wenyewe mazuri ya nchi.
Nachomuomba tundu Lissu lazima atembelee viatu vya Martine Ruther king. Katikati ya majaribu, thiki na anapoona hakuna haki ahubiri amani, Umoja na Upendo na kutoa hotuba za kuwashawishi watawala kutenda haki zaidi ya Alaiki ya watu kudai haki kwenye mazingira yasio Rafiki. Na inawezekana kabisa.
Naomba asijaribu kuwa Kama Patrick Lumumba wa Kongo. Akili ndogo ya kudai haki na nguvu nyingi ilipoteza kabisa Malengo yake binafsi na ya taifa lake.
Kuna kero nyingi za kusemea, nyingi mno adili nazo hizo. Asisahau kuhubiri msamaha kwa watu. Aseme wazi amawasehe wote waliotaka kumuua. Awasibitishie Viongozi wote wa Dola na Serikali watakuwa salama mno yeye akiwa madarakani. Aseme amemsamehe kila mtu kwa tukio lake. Na atusihi tusameheane. Akika atakuwa na hotuba zenye mvuto na kuponya wengi Sana.
Asisahau kuwasemea.
Wakulima wa
•korosho pembejeo na soko lao na malipo
•Pamba, kuanza kukopwa na kutokulipwa
•Kahawa Bei ndogo kuliko uganda
•mahindi tuuze sembe na chakula Cha mifugo nje kiingeza garama.
•alizeti tuuze mafuta na Bei iwe nzuri.
•mitaji na mazingira Bora kwa boda, ma lishe, wachuuzi na wengine.
KIKUBWA FANYA TAFITI KWA KILA KUNDI SIO KUWASEMEA SHIDA WASIOKUWANAZO. KERO ZAO NI ZIPI. WAO WANATAKA NINI.
SEMA WANACHOTAKA KUKISIKIA SICHO UNACHOKIWAZA
Yale ya katiba mpya na tume huru Wajumbe kwa elimu yao hawataweza kukuelewa kaka labda uhusishe moja kwa moja na matatizo yao. Wajumbe usiwaletee ujuaji sana