Haipendezi bwana kupiga na kuvunja watanzania viungo vya mwili kisa eti wameenda sehemu flani.
Haipendezi kabisa. Hata kidogo.

Na kwambia kama poliai hawatavuruga watu watatembea kutoka airport hadi kinondoni na hutosikia hata mende aliyekanyw
agwa njiani.
 
Kwani mtu akipata Corona anaanguka hapo alipo na kufa? Inawezekana watu wana kufa nyumbani kwao kwa magonjwa ambayo yamewaathiri zaidi kutokana na Corona. Hiyo hatujui kwa sababu watu hawapimwi Corona kwa sababu haipo.

Amandla...
Kwa jinsi ambavyo hatuchukui tahadhari kama nchi zingine za Ulaya na Marekani, mantiki inaniongoza kufikiri kwamba sisi tulio masikini na tusio na mifumo mizuri ya kutolea huduma za afya, ndiyo tungeathirika zaidi na athari zake zingeonekana waziwazi maana vifo vingekuwa vingi mno, hata kama haiui papo kwa hapo.

Mimi nina ukoo mkubwa sana. Lakini sijasikia msiba wala misiba popote pale.

Mtaani kwetu nako hivyo hivyo. Hatujapewa taarifa za msiba wala misiba ya majirani!

Na tokea hiyo Corona ianze, ni mwezi wa ngapi sasa huu?

Wewe kwenye ukoo wako na mtaani kwako huku Tanzania, umefiwa na wangapi kutokana na Corona?
 
Siamini Kama ni ww
 
Kwa mara ya kwanza tangu umejiunga jf leo hii ndiyo umeandika ki GT.

Unafiki umeweka pembeni na ukasimamia ukweli.Hongera sana

 
Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na Bashite
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa haya mapokezi ni dhahiri Lissu ndio mpeperusha bendera wa CDM. Hili liko wazi kamati kuu imebaki kupitishaa tuu
 
Haipendezi kabisa. Hata kidogo.

Na kwambia kama poliai hawatavuruga watu watatembea kutoka airport hadi kinondoni na hutosikia hata mende aliyekanyw
agwa njiani.
Ni Kama wale waliomuua akwilina asiye na hatua kwa kuftyatua risasi Hadi kumkuta raia asiye na hatia, hafu hao police hawakushtakiwa popote mpaka leo.

Kwa jinsi police walivo jiheshimu Leo hyo itakuwa amri ya Magufuli mwenyewe wao ndo huvunja amani. Hii tabia nzuri iendelee hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…