Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Mkuu amini hata kama Makonda angetuma askari wake leo pale Airport basi leo ingekuwa historia mbaya sana kwa nchi yetu maana watu walijipanga kuwa lazima wampokee mh Lissu.

Wange waua wangapi?
Kumbe zile vurugu zote hadi mtoto wa watu Akwilina akauawa ni Makonda! Mpumbavu sana. Ona leo watu tunafurahia demokrasia bila bughudha! Pamoja na Polisi kutoa jamba jamba tumeenda kwa kifua.
 
Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.

Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.

Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
naona umebadili gia angani
 
COVID-19 imeisha?! No more masks, no social distancing etc. Hapa ndio ninatatizwa na sera za vyama vya upinzani hapa nchini.
jana watu walivyokuwa uwanja wa taifa wakimuaga mkapa mbona hukuuliza kuhusu hizo mask kisa ni upinzani ndio wahoji chuki binafs hizo.
 
Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.

Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.

Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
Kwani walioenda uwanja wa Taifa kumuaga mfu (maiti) wamefaidika nini?
 
Waliokwenda kumlaki Lissu wakirudi majumbani kwao wajiulize wamefaidikaje, wakati viongozi wao na Lissu mwenyewe watakuwa wanakula bata kwenye chumba chenye kiyoyozi.

Wajinga ndiyo waliwao, maana naona kundi linasaga lami kama wakati ule mgombea alidekiwa barabara ya lami aweze kupita.

Kama nilivyotoa angalizo awali kuwa matarajio ya mkakati wa CHADRMA utabuma kwani Serikali imepuuza ujio wa Lissu.
Hebu Wacha upuuzi weweeeeeeeeeeeee
Kwani ninyi mnaporundikwaga kwenye malori ya kubebea ng'ombe mnafaidikaga na niniiiiiii..........?
 
Wewe Akili yako imeishia Lumumba au imeishia gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi
Wewe mimi nlishakusoma Musiba na Lemutuz watakuwa alikuachia watoto maana kila sehemu kazima uwataje,

Mkuu wewe jirudishe tu
 
Wewe kama huguswi waache wenzio wafanye kile wanachoona inafaa. Usiingilie uhuru wa wengine
Hata uhuru una mipaka yake, na ndiyo maana binadamu ni tofauti na wanyama kwa kuwa tuna uwezo wa kutumia akili kujua lipi linafaa kwa wakati na mahali husika
 
Gari watu wamesema hakuna kujaza mafuta lina sukumwa tu hadi ufipa
Namtakia Lisu usingizi mwema akisubiri kura za Nani wa kupeperusha bendera ya uraisi Chadema Kati yake na wagombea wengine

Nimeiona Demokrasia kamati kuu chadema Nina imani na baraza kuu watawapa Haki yao Lisu na Nyalandu na yule mama na Baada ya kura asiwepo w kupiga yowe Ohhh Mimi nimeonewa

Chadema nawakubali kwenye kura za mgombea Uraisi mko fair pamoja na kuwa siipendi Chadema mumeiachia demokrasia ichukue mkondo wake kamati kuu mkiiga CCM chama changu uchaguzi kura maoni kamati kuu huko Kwingine naamini mtaachia demokrasia ifanye kazi
 
Back
Top Bottom