Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Unaongea nini wewe tena?
Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
 
Hiyo nyomi haifiki hata idadi 0.00000001 ya watz waliopo wilaya ya ilala pekee yake.

Bado alistahili mapokezi makubwa zaidi ya haya.kama tu chadema wangekuwa smart zaidi.


Tatizo la vijana wetu kama wewe ni kijana ni fikra ndogo. Kutangaza Lissu kufika sio kutangaza watu bali tukio la mwanasiasa aliyepigwa risasi kurudi baada ya matibabu. Hii isingetakiwa kuwa kichama hata kama angekuwa wa CCM angetakiwa aonyeshwe kama Mtanzania. Tatizo kila kitu mnafikiria kisiasa zaidi badala ya Kitanzania. Hivyo unaonyesha kitu ambacho nakisema vyombo vya habari ni vya propoganda zaidi
 
jana watu walivyokuwa uwanja wa taifa wakimuaga mkapa mbona hukuuliza kuhusu hizo mask kisa ni upinzani ndio wahoji chuki binafs hizo.

Ulichoona uwanja wa taifa ndio msimamo wa serikali ya CCM. Naulizia msimamo wa CHADEMA juu ya COVID-19 ni upi? Au hukumbuki kwamba walitoka bungeni kwa sababu ya COVID-19? Ukiweka ushabiki pembeni utaelewa vizuri ninachotafuta.
 
Naona hewa chafu inakutoka bila kujijua... LUMUMBA SOOMA HIYOOOO.
Mafuriko ya Lissu[emoji16][emoji16][emoji16]
20200727_162107.jpeg
 
Back
Top Bottom