Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
Amri alikuwa anapewa na Makonda. Huyu RC mpya kwanza siyo mtu wa kujionyesha misifa mimi nimeanza kumpatia credits
Hiyo nyomi haifiki hata idadi 0.00000001 ya watz waliopo wilaya ya ilala pekee yake.
Bado alistahili mapokezi makubwa zaidi ya haya.kama tu chadema wangekuwa smart zaidi.
Ameanza leo. Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono. Lissu ni Game Changer. Hali inaenda kubadilika.Gentamycine, lini umebadilika?
Hahahaaa nimefurahi sana leo Gentamycin a very poor antibiotic of highly resistance rate to microbes.
jana watu walivyokuwa uwanja wa taifa wakimuaga mkapa mbona hukuuliza kuhusu hizo mask kisa ni upinzani ndio wahoji chuki binafs hizo.
Vizuri karudi nyumbani.😅😅Ujio wa Mgombea wa Urais Chadema.
[emoji28][emoji28]Ujio wa Mgombea wa Urais Chadema.
😅😅zile huwa ni swagga tu.Vizuri karudi nyumbani.
Ila sijaona kama kavaa zile raba mtoni..
Mafuriko ya Lissu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mambosasa ni mnafiki ila hana namna mkuu mpya wa mkoa wa dar kamwambia atulie.
Miamba haoMh Mbowe kushoto akiwa na mh Tundu Lissu
View attachment 1518569
Yupo kwenye kikao cha dharula na aliyekuwa boss wake Bashite.Kamanda Mambosasa anasemaje
Nilitaka kujua tu nini maoni yake. Siasa ni Raha bwana.[emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una vituko wewee
Ila kwa nini anapenda kunyoa kiduku?😅😅zile huwa ni swagga tu.