We nishamla dadako Manka. Kuwa na adabu.
Hivi unajuwa wewe ni kiazi kuliko viazi wote humu? Wewe ni mshamba tu hata ufanyeje! Mshamba haswa! Umle dada yangu una hadhi wewe shamba boy? Halafu wewe ni unaliwa samvu kopo?

We ni mtoto wa watu huniambii kitu! Itakuwa uko US kwa kodi zetu kima wewe! Haujui hata Tanzania!
 
Mna furaha wakati mna msiba? Pambaneni na hali yenu, sisi fill Sherehe!
Lissu on his Land again with his own two feet, amazing how God can be!
😊😊😊😊😊

Pia wewe una msiba.. labda kama kuwewe ni asailamu sika.
 
Tumuombee asikubali kuburuzwa
 
Mchango makini sana
 
Wanakaribia kufika hapa studio. Naona polisi wamerika hapa khsha wakarudi riverse kwenye barabara ya mwendokasi. Magari ya kawaida hayapiti kwa muda kuelekea Morocco ya airtel.
 
Utakuwa umekasirika sana, why don't you sip a lovely drink of cold water?
 
Punguza hashuo Mangi.

Manka amekufa na kuoza kwa Ngosha hapa.

Namlisha manumbu [maviazi] tu hapa.

Kuwa na adabu.
 
Hongera Lisu
Hongera polisi
Hongereni wafuasi wa CDM
HONGERA KUBWA RC MPYA WA DSM.

LEO NLIKUWA NASKILIZA HOTUBA YA MKAPA YA KUAPISHWA KWAKE MWAKA 2000 KWA KWELI ILE HOTUBA TUNATAKIWA KUISHI NAYO ...SIASA SIO UADUI
Bahati mbaya mwenyewe hakuiishi hiyo hotuba, ndio uwajue African leaders
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…