Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
wananchi tumewachoka aiseeLeo tumewaonyesha kuwa chama chao cha kijani kimepitwa na wakati
Polisi mbona wako poa. Leo nitakuwa Polisi Messi hapa Ukonga. Nina kama Laki mbili hivi hazina kazi. Nitaenda kutoa moja baridi moja moto pale. Furaha yangu haiwezi kwenda hivi hivi bila kuwapongeza.
Leo nkmeshangaa pale airport askari polisi wanaitukana ccm
Miaka zaidi ya 50 unazungumzia miradi ya umeme. Kulikuwa na mradi wa umeme wa gas na bado tunanunua bei ghali kuliko wasio na gas.😀😀😀😀
Msiba amesahau hata Lumumba wako huku wanafuatilia. Yeye mwenyewe yuko busy anafuatilia ... sasa alitaka nani aende Uhuru kama yeye yuko busy kufuatilia mambo ya Terminal 3!!Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.View attachment 1518610
Jr[emoji769]
Siku hizi corona imekuwa ni shinikizoMkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona ni nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Acha wivu wewe.Barakoa yake keshaitupa?
Ndio kwanza watu wanafanya biashara mpaka katikati ya barabara, kama huo ni ustawi basi kapige shule zaidi.Karibu Lissu. Tanzania inazidi kustawi mbali na wewe mwenyewe kuinenea mabaya hapo kabla. Umejionea mabadiliko. Tanzania tunasonga mbele.
Kuanzia sitawalaumu polisi kwa wafanyayo huwa wanapewa maagizo.
Nimeumia wapi?Acha wivu wewe.
Lissu karudi Tanzania akiwa hai na mwenye afya njema, watu wamefurahi na kushangilia, sasa wewe unaumia nini?
Habari ya siku chifu......hakika leo nimeona katiba inafuatwa kama ilivyokuwa miaka ya 2010 hadi 2015 kwa kiasi chakeJeshini unatii amri baadae ndiyo unahoji
Nimeamini kuna watu ni pumbavu sana hapa duniani... kabla hujaandika hii comment ulijiuliza km lisu anakuja kwa ajili ya serikali hadi kufanya hiyo serikal kumpuuza..?
Kimsingi wamefanikiwa (kwa mtazamo wako kwamba ni kiki) kwa kuwa cdm lengo umati uwepo, watu waone... ari ya kusupport chama irudi hasa kwa wale wakata tamaa.....
Acha kutafuta sababu ya kupinga..... wakat nafsi yako imekubali baada ya kuona matoke...
Kwani Nyalandu mmempiga chini? Huu mchakato ulifanyika lini?Jiandae kisaikolojia maana Lissu ndiye rais wako ajaye
Kama ungekuwa airport ningekujanipo mbali
Ukimwi sio corona
Fala sana shehe, Mbona hutulii?Nimeumia wapi?
Anasema Lissu is unstoppable.Kamanda Mambosasa anasemaje