Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.View attachment 1518610

Jr[emoji769]
Msiba amesahau hata Lumumba wako huku wanafuatilia. Yeye mwenyewe yuko busy anafuatilia ... sasa alitaka nani aende Uhuru kama yeye yuko busy kufuatilia mambo ya Terminal 3!!
 
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona ni nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Siku hizi corona imekuwa ni shinikizo
 
Bado nipo nimepokea picha zaidi ya mia tano za Msafara wa Lisu, mm ni ccm damu damu lakini ukweli usemwe tu, Lisu ana nguvu ya kiushawishi isiyo ya kawaida...

Tanzania ni kama vile tumesha sahau kama kuna msiba wa kitaifa...

na report kutoka hapa Illinois Marekani mm ni Waziri wa kaskazini Jf
 
Nimeamini kuna watu ni pumbavu sana hapa duniani... kabla hujaandika hii comment ulijiuliza km lisu anakuja kwa ajili ya serikali hadi kufanya hiyo serikal kumpuuza..?

Kimsingi wamefanikiwa (kwa mtazamo wako kwamba ni kiki) kwa kuwa cdm lengo umati uwepo, watu waone... ari ya kusupport chama irudi hasa kwa wale wakata tamaa.....

Acha kutafuta sababu ya kupinga..... wakat nafsi yako imekubali baada ya kuona matoke...

Hoja zako zote zina mashiko ila zimegemea katika tukio la ujio na si matokeo ya ujio wake. Hapo ndio yunatofautiana
 
Back
Top Bottom