Haunielewi Mkuu. Taratibu za huku, tunapokuwa makaburini huo inasomwa historia ya marehemu na mara nyingi source ya kifo chake kinatajwa. Marehemu alipata ajali, alikuwa na matatizo ya kisukari kwa muda mrefu, alikuwa na cancer n.k. Lakini inapokuja Ukimwi hata kama wote waliokuja wanajua kuwa marehemualikuwa ni muathirika wa muda mrefu na baadhi walikuwa wanamuuguza, Ukimwi hautajwi kwenye hiyo historia ya marehemu., zinatajwa euphemisms kama marehemu alikuwa na kisukari wakati wote wanajua kuwa hio sio kweli au kisukari kilikuwa ni moja tu ya matatizo yake lakini tatizo kubwa lilikuwa ni Ukimwi.

Amandla...
 
Kaanza na salamu anasema hiki ni kipindi Cha maneno wengi
(Watu wanashangilia)
 
Anasema anajua watu wamechoka hivyo ataongea kidogo
Watu wanajibu hatujachoka

Huku wanashangilia
 
Lissu ana hadhi ya kufanya mdahalo na Magufuli. Akitaka Mdahalo atapewa Mwigulu tu akampe hiyo entertainment; Magufuli has better thing to do kuliko kusikiliza story ambayo tushaisikia ya kupiga risasi 16 get over it Lissu tushasikia.
Tuombe mdahalo kati ya Lissu na Magufuli. Kama alipokuwa hayuko kwenye mdahalo aliita ma- Air Hostess ''Air Hostages'' siku hiyo ya mdahalo hata kisukuma kitamshinda.
 
Anasema huu mwili wake wote kasoro kichwa na uso ni ramani ya makovu ya risasi na visu vya madaktari anasema mguu wa kulia umejaa vyuma kuanzia kwenye goti Hadi kwenye nyonga na anasema bado ana risasi ambayo ipo kwenye mgongo na madaktari wamemshauri aiche iko sehemu mbaya
 
Usihangaike Mangi.

Heshima ya dadako Manka kwangu inatosha.

Njoo tuzipige ngumi basi.

Come fight me you little bitch...
Nyani mzee umpige nani? Wewe humo humu toka nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima! Kavae pampas huko! Msukuma wewe kibabu chenye diapers. Halafu una low self esteem! We ni mporipori! Huna hadhi! Hata English haiwezi kukupa hadhi weee mtumwa shoga!
 
1736hrs: CCM wachache wamejipanga Barabarani wanazomea Msafara. Walinzi wa CHADEMA wamewaomba waondoke sababu wanaweza sababisha vurugu kwani tangu mchana hakina fujo iliyotokea. Wamekubali wakaondoka
Nchi imgekuwa imetulia namna hii matatizo yangetoka wapi?

Kila mtu, kila kiongozi angepata heshima yake stahili.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Tupo pamoja Mkuu.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…