Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Risasi zilitumika kuondoa kigezo cha kuwa rais, yaani mtu akifa hawezi kuwa rais.
Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.

Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.

Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.

Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.
 
Halafu baada ya hapo anakutana na akina mama wamepanga nyanya mpaka barabarani, itabidi awashangilie CCM kwa juhudi za kuleta ufukara.
Atawakuta siku hizi tena wanauza kwa furaha hakuna mgambo wala nani wa kuwabughuzi.

Kibaya zaidi story yake nyingine ya MIGA akiileta wenzake washaomba ‘po’ muda mrefu.

Endeleeni kumuongopea Lissu si tishio anatembelea nyota ya huruma tu.
 
Ni muda sasa wa yeye kujionea Magufuli is becoming somewhat a Saint kutokana na kazi.

Kuna mtu kadai baada ya kuona terminal 3 kidogo Lissu mwenye aseme CCM oyee.
Lissu wa kimataifa hako ka terminal 3 atashangaa nini umewahi kuland Atatürk Airport...CCM hawa vijana wenu siku hizi hakuna program za kuwapeleka Ulaya mashariki wakapate exposure..
 
Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.

Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.

Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.

Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.
WEE ULISIKIA WAPI??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio kwanza issue imekua updated.

Kama habari ya kushambuliwa kwa Lissu umeichoka ziba masikio.
 
Lissu wa kimataifa hako ka terminal 3 atashangaa nini umewahi kuland Atatürk Airport...CCM hawa vijana wenu siku hizi hakuna program za kuwapeleka Ulaya mashariki wakapate exposure..
Waliomuona ndio wanasema katua anaona kama vile anaingia nchi alizozea kwenda kupeleka umbea wake hakuamini kidogo aseme CCM oyeee kwa mujibu wa mdau aliekuwepo eneo la tukio.
 
MAPOKEZI: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto), Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho na John Mnyika, Katibu mkuu wa chama hicho wakitoka kumpokea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya LIssu kuwasili Tanzania kutoka Ubelgiji.
IMG_4409.jpg
 
Mara zote polisi ndio huwa chanzo cha vurugu,ona sasa hawajatumia nguvu shughuli imeisha bila tatizo.

Bora leo hawajatumia ile intelijensia yao iitwayo 'tishio la uvunjifu wa amani '..
 
Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.

Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.

Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.

Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.

Yaani Magufuli anamzidi hoja Lissu? Hoja zenyewe Watanzania sitowaangusha na kupiga pushup!!

Wewe jamaa unachekesha sana,huyo Magufuli mpaka sasa anachotegemea ni vyombo vya ulinzi na usalama,na Tume ya Taifa ya Uchaguzi basi.

Magufuli alisukumiwa kwenye Uraisi akajikuta yupo Ikulu anashangaa shangaa tu hajui aanzie wapi ndiyo akaenda kuanzia kupiga deki kule feri na kufuta sherehe za Uhuru.
 
We nakudharau sana mtoto wa mama! Hujui lolote kuhusu maisha ya wagumu. Yani we Tumbili, nakudharau mbaya sana!
Usihangaike Mangi.

Heshima ya dadako Manka kwangu inatosha.

Njoo tuzipige ngumi basi.

Come fight me you little bitch...
 
Back
Top Bottom