Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.Risasi zilitumika kuondoa kigezo cha kuwa rais, yaani mtu akifa hawezi kuwa rais.
Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.
Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.
Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.