Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Yaani bafuasi wa Chadrama.. hamuna hata ku smati foni.. murekodi kulaivu.. mutuonyeshe.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ruzuku na ya leo.. tekinolojia.. mupo kama senchari ya 10.. mumetia aibu..

Mbowe kuwapi? Kugilti sio

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ruzuku kumufuko.. chadrama ya familia.. mutajua tu..
Na bado utaongea mpaka kisukuma
 
Yaani bafuasi wa Chadrama.. hamuna hata ku smati foni.. murekodi kulaivu.. mutuonyeshe.. 😃😃😃😃😃

Ruzuku na ya leo.. tekinolojia.. mupo kama senchari ya 10.. mumetia aibu..

Mbowe kuwapi? Kugilti sio

😃😃😃😃😃 ruzuku kumufuko.. chadrama ya familia.. mutajua tu..
Zile dawa zako za kutuliza kichaa leo umekumbuka kumeza?
 
Mjusi kabanwa na Mlango
Kesho mkuu wa mkoa anaweza akatumbuliwa
Anatamani amrudishe bashite
Mkuu wa mkoa hawezi kufukuzwa yupo makini katenda haki chadema hawakufanya fujo kosa la RC lipo wapi?
 
Kwa fikira za kibanadamu hasa wanaoamini nguvu ya mfumo ni kweli ni ngumu sana ama haiwezekani.

Ila kwa mkono wa Mungu linawezekana asubuhi na mapema sana.

CCM chama changu damu damu, ila nikiimbiwa "tatu bila tatu bila" poa tu.

Natamani sana iwe kweli
 
Hii ndio ccm bhana kula na kipofu,!

Sasa hapa tayari mabeberu wenu wameona kumbe tz kuna democrasia ya hali ya juu
 
Hakika Mungu ametenda the surviving miracle

Welcome home
IMG_20200727_152133.jpeg
IMG_20200727_150128.jpeg
 
mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani.

aliyekusudiwa afe, leo hii yu hai akishuhudia kwa macho yake haya yafuatayo kati ya mengi:

1) chinjachinja hana cheo chochote
2) mmoja wa baba zake chinjachinja yupo ndani ya jeneza anaagwa
 
Yaani bafuasi wa Chadrama.. hamuna hata ku smati foni.. murekodi kulaivu.. mutuonyeshe.. 😃😃😃😃😃

Ruzuku na ya leo.. tekinolojia.. mupo kama senchari ya 10.. mumetia aibu..

Mbowe kuwapi? Kugilti sio

😃😃😃😃😃 ruzuku kumufuko.. chadrama ya familia.. mutajua tu..
Mtanena sana kwa lugha leo! Maumivu yakizidi kunywa sumu!
 
Kakundi kadogo kamekaa chini kwenye meza Tena kitulivu hasaaa😂😂 namuona Sugu anavyowachangamsha yaani Jamaa walipiga Sana Mikwara mimi nikadhani wanakuja kama ISIS kumbe raia wachumba tu😂😂😂😂😂
Makamanda wana tabia ya kuandamana nyuma ya keyboard kwani huwajui!!?
 
Yaani bafuasi wa Chadrama.. hamuna hata ku smati foni.. murekodi kulaivu.. mutuonyeshe.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ruzuku na ya leo.. tekinolojia.. mupo kama senchari ya 10.. mumetia aibu..

Mbowe kuwapi? Kugilti sio

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ruzuku kumufuko.. chadrama ya familia.. mutajua tu..
Huamin unachokiona , Mungu ni mkubwa sana...

Alipigwa risasi akaokolewa mungu na siku Yake ya kurejea mkapa kafariki ili msilete vurugu.
 
Back
Top Bottom