Na babayao aliwadanganya kuwa 2020 kutakua hakuna upinzani Leo anajinyea huko alikoCCM hawaamini kuwa chama kilichokufa kumbe kina wafuasi ambao wako hai!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na babayao aliwadanganya kuwa 2020 kutakua hakuna upinzani Leo anajinyea huko alikoCCM hawaamini kuwa chama kilichokufa kumbe kina wafuasi ambao wako hai!!!
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Na wakimkamata kesho mupongeze ivo, maana huyo mgeni wenu si ni most wanted huko mahakamani.
Pamoja na kuvunjwa mkono dada hana kinyongoAsanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Pamoja na kuvunjwa mkono dada hana kinyongo
Acha upumbavu wako....MH LISSU ndio atakuwa mgombeaLisu mtoe hapo, muweka Nyalandu
Hii ni akili kubwa tuwe tayari kulipongeza jeshi la polisi pale ambapo linasimamia maslahi makubwa kwa manufaa ya Watanzania wote. Leo hii wengi tulikuwa tuna wasiwasi wa Lissu kukamatwa na vurumai kubwa kutokea (kumbukeni threads za wazushi mbali mbali hapa jamvini) lakini hayo yote mabaya yaliyotabiriwa hayakutokea.
Tetesi: - Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu
Mungu ibariki Tanzania 🙏🏽
Haki haki haki, Tundu Lissu ndicho anachohubiri!Mh tundu lisu dunia imeona ulichofanyiwa na ujio wako umewatia aibu watesi wako.
Mapokezi yako yawape heshima waliokuja kukulaki. Ili waiandike historia Yao ya mapenzi na amani kupitia wewe.
Tal the great
Safi sana, wapinzani tulipongeze jeshi la polisi hata kinafiki, hii itasaidia hata ccm wakitaka kulitumia kwa namna hasi wajikute kwenye wakati mgumu. Kitendo cha wafuasi wa Cdm kufika kumpokea Lisu huku kukiwa na Katazo, na bado hawajafanyiwa fujo, na hakukutokea tatizo lolote, tushikilie hapa hapa.
Mkuu tindo kwa Jeshi la Polisi leo kukaa pembeni pamoja na kuwa walikuwepo Aiport na silaha chungu nzima ni kitendo cha kupongezwa sana. Wengi tulikuwa na hofu ya vurumai za kutisha hasa baada ya kuona umati mkubwa uliojitokeza kumpokea Lissu.
Mh tundu lisu dunia imeona ulichofanyiwa na ujio wako umewatia aibu watesi wako.
Mapokezi yako yawape heshima waliokuja kukulaki. Ili waiandike historia Yao ya mapenzi na amani kupitia wewe.
Tal the great
And the good about all that, is the fact that we will have the power to remove him if we are not satisfied with his leadership.
Hivi ukienda msibani kuaga mwili unapewa kipaza sauti?Halima Mdee amefanya vyema leo kulipongeza jeshi la polisi, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali sababu kuchukua maamuzi hasi dhidi ya cdm.
Kwakuwa wamemstahi leo, ni vyema angeachana na huo msiba, kuna nafasi kubwa ya kushindana na ccm. Na kama itawezekana kuanzia sasa Lisu pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano hii rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anapambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi lake binafsi. Ni juu yetu wapinzani kutumia kukubalika kwa Lisu kwa njia chanya kuliko kuvutana
Magu basi tena, Urais basi tena
Tunakuja tunakuja wasubiri waone!!
Hehee, nyie majamaa bhanaMagu basi tena, Urais basi tena
Lissu hajawahi kuchosha tunamjua toka hapo mwanzo ndio maana akawa targeted.Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.
Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.
Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.
Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.