Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

Eti naye ana PhD!! Hovyo kabisa Chuo kilicho mpa huyu hiyo mikaratasi
 
Mnao mponda huyu jamaa leteni CV zenu tufanye comparison hapa....
Mjadala uishe 😂😂😂
 
Hata kuku anamuona kunguru ni genius kwa vile anaruka toka mti kwenda mti
 
Wapo tayari kufanya lolote ili wapate "ukubwa" na kuondoa mikosi ya ukoo.
Ndiyo hivyo mkuu ukipata sagoma mzuri unatoboa haraka sn, angalia akina Ummy, Makamba, Nape, Mwigulu, Aweso, Mbarawa, Kijaju, Bashe, Masauni n.k hakuna kazi ya maana wanafanya lakini ndiyo wameishika nchi hakuna namna na maza humwambii yaani kwake anajua ni chapa kazi haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…