YaaniHahahahaa nimemwambia my Queen aache kabisa mambo ya siasa
Ni full presha
...ugali
Kama anapesa za kumwaga no problem!Alishinda? Kuna mtu anataka kugombea urais 2025 na ameniomba niwe chief strategist. Uzoefu wako please?
HahahahahaApumzike? Unajua ni pesa kiasi gani ameshapoteza? Hizo pesa ni za nani? Zitarudije? Hakuna kupumzika hata azeeke vipi na mkongojo wake utamuona anatetemeka majukwaani!
Hii kali. Wezi wako creative na wanatafuta kila mbinu.usiseme hivyo huu utapeli umeenea carry mi nimeibiwa mara mbili na hawa wezi wa madawa...yapo madawa ya kulevya na ya kienyeji(uchawi)....huwez amin unaibiwa na unataja kila kitu mwenyewe kama mimi mara ya kwanza waliiba laki mbili mpesa yan password nimewatajia mwenyewe unakuwa hujielewi kabisaaaa mara ya pili wameniibia elf 80 na simu...na wapo aina kama nne tofauti wengine hakusemeshi kitu anakukazia machi tu mboni zikijutana macho kwa macho unqmfata tu na ata kama una atm card wanatoa pesa na password unawapa vzr tu
HahahahaSiyo lanchi ya Masaki hii mzee. Nyie huko ni scallops, smoked salmon, veggies/fruits huku mkisukumizia na Fiji Wota. Achana na lanchi za Mbagala huku bosi!
Mi naomba experience yake tu. Huyo mtu wake alishinda ubunge?Hahahahaa nimemwambia my Queen aache kabisa mambo ya siasa
Ni full presha
Mbunge wa Kiembesamaki. Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona bungeni yanatokea mambo kinyume na mabunge mengine duniani kote.. Usishangae
Hamna!Mi naomba experience yake tu. Huyo mtu wake alishinda ubunge?
Pesa anazo. Ana tudola tumilioni kadhaa kaficha mahala japo hasemi. Na anasema kuna wengine watamwongezea. Nataka kutest zali nione how the game is played...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama anapesa za kumwaga no problem!
Ni pesa TU!
Mkuu tupate likes kwanza sipendi vita itokee napenda amaniMkuu usijidharau na pia usidharau taifa la watu. N Korea hana ugomvi na taifa lolote, anajaribu zama zake za kujihami, wenyewe Amerika wanaweweseka. Isidhaniwe kuwa ni rahisi sana Amerika kutumia zama alizotimia Nagasaki na Hiroshima.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaKama mimi. Mpira ni big no. Huwa sielewi eti Aseno au Livapul imefungwa huko Uingereza mtu yuko Mbagala huku anashindwa kula mihogo yake kwa sababu ya maumivu ya kufungwa. Sitakaa nielewe hii lojiki aisee...
...and that's politics. Utafikiri chess. One fatal move and you are finished. Naamini ataendelea kujaribu tena na tena mpaka azeeke. Ego inakuambia you were born to do this, kumbe hali halisi ipo kinyume. Mfarakano !!!Hahahahaha
Baba yake alimuachia nyingi sana shida hakuwa na mipango sahihi kwa wakati sahihi
Moi alimteka akawa Katibu mkuu wa KANU akiwa na nguvu sana
Kuelekea kwenye uchaguzi choice ya Moi ikawa Uhuru yeye akakosa nafasi kosa la kwanza
Akatoka KANU kumsapoti Mwai kibaki kwa makubaliano Kibaki at a rule one term only kosa la pili
Second term ya Kibaki akaamua kumpinga kwenye election
Uhuru akafanya good choice Akamsapoti kibaki kurudi madarakani biashara ikawa imekwisha next election Uhuru Rais
Maamuzi yake hayakuwa sahihi wakati wote Uhuru alitumia vizuri maamuzi yake kwa wakati sahihi
Bila kufanya faulo kushinda ni ngumu sana hasa siasa za kiafrikaWahenga wanasema "Siasa ni mchezo mchafu"