Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenye kiti na katibu wake(mzee wa koromije na bilionea wa tukuyu sasa hapa sijui nani mwenyekiti na nani katibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Kuna andaeitini na baba viv
Wengine hawajajitokeza hadharani bado
Katibu ni Bob, nae ni nahisi ni mdogo wake andjul maana wanashabihiana sana tabia hizo hahahaha.
Bob kuanzia leo ww ni shemeji yangu wa damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…