mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
YapKila MTU ana umuhimu wake
Hapo sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Naacha basi
Lete mamboJe uko tayari kushinda hofu sasa? Karibu nikushirikishe njia 7 ambazo unaweza kuzitumia kukabiliana na hofu maishani mwako.
Uzalendo
Mshikamano
Umoja
Upendo
Ndio silaha yetuAmani
YapUsawa na haki
12:5723:24
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si utakuwa umekufaHahahaha jaman hadi mende duh mie naogopa sana funza aisee sijui nikifa itakuwaje
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Shikamooni akina mama wote. Kwa hili suala huwa nawavulia kofia kwa kweli. Mungu Awabariki sana.
Halafu juzi hapa Carba akaweka data kuonyesha kuwa vifo vya wazazi vinaongezeka nchini. Nilihuzunika sana kwa sababu I can't imagine umempeleka mkeo kujifungua hospitalini halafu unarudi na maiti. Pamoja na kuchukua tahadhari zote ni kuomba tu kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sanaWeeee!Numbisa ushawahi tambaliwa na mende wewe?[emoji23][emoji23]
Kuna wale wanaoruka acha haao wanaotambaa
[emoji117][emoji117]nakumbuka wakati niko mdogo sijui walinitambaa usoni mana nililala chini nje,kuja kuamka usoni mdomo umevimba hatari siku nzima nilishinda ndani siwezi hata kutoka nje
likesNimemisi miji-likes daah....
Naombeni likes kama 10 ili nikae sawa
AmaniUpendo
Mchana wa likesUsiku wa kupeana likes
Mkuu hapa ni zaidi ya likes , si kweli kwamba watu wapo hapa kwa kazi ya kuvuna likes pekee. Hiki ni kitio cha burudani, kituo cha mafunzo na pia ni kituo cha habari.MyoyaMbendi inatosha ndugu yangu duu izo like ulizozipata week mzima utosheki
Madawa ya kulevya hatari sanaKiongozi.
Madawa hayafai.
DMX kapoteza, na amefilisika.
Huko Rehab ndio imekuwa kama sehemu yake ya Maisha.
Yaani akirudi kitaa, tena Rehab.
Madawa ya Kulevya hayafai
Mwalimu, ikiwa hivyo utajuaje kuwa mafunzo unayotupatia yanatuingia?Soma kisha tafakali,muda wa maswali haupo