Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawatafuta wasukuma, hakuna kingine mkuu
Mahari umejipangaje? Wasukuma siyo chipu ujue. Na safari hii nataka mashemeji responsibo jamani. Nimechoka kupanda mabasi kufuatilia mahari kha!. Tukuyu mpaka wamenifahamu mpaka wanadhani mi Mnyakyusa mwenzao. Ai emu tayadi na hizi drama zenu mashemeji.
 
Utamuachaje mwanamke ambaye hajakuacha na talaka hajaikubali? Ndoa yenu bado ni halali hapa duniani na hata mbinguni na huko kwa Cole inakosemekana ndo umehamishia majeshi tambua tu kuwa unazini. Na nikwambie mara ngapi kuwa hutu tung'ombe twako twenye vifua kama mabaunsa uchwara hutu hatututaki? Kwa kweli kama ni shemeji hapa tulipata duh !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Dharau tupu. Mpaka na bonasi ya kitimoto. Mnyama mchafu mwenye laana yule ulishaona wapi anatolewa kama mahari? Dharau hizi kwa familia na ukoo wetu hatutazivumilia kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…