Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamuziki wa kizazi kipya nchini marekani, rapa Quavo huncho kwenye nyimbo yao ya SLIPPERY anasema hivi....

Tommy gun, come out and play let's have fun,
Big scales fish scale big weight,
Ice berg ice tray ice tray,
Plugged called tried to front I don't need it.

[emoji441] [emoji444] [emoji23] [emoji13] ice berg ( berg ) ice tray ( tray )
 
Kabisa hilo la kutoshinda kwao halafu kumdharau Clinton. Pamoja na sakata lake la Monica lakini alikuwa bado very popular hasa kwa Dems. Kutomtumia kwenye kampeni kuliwaudhi wengi hivyo hawakupiga kura.

Hahaha
Florida hiyo, Jeb alimsaidia kaka ake

Ila Gore alipoteza mwenyewe huu uchaguzi. Angeshinda kwao Tennessee hata hiyo Florida ingekuwa haina haja.
Au kama wange omba recount ya state' wide wange shinda tuu.
 
Obama was good for himself not for the party.
Soma kitabu cha Donna Brazile. Ameandika vzuri sana yule maza.

2020 wanaweza wakashinda, wa muweke mtu kama Joe Biden.
Ila Uchumi ukiwa mzuri kama sasa. Bado Trump could steal it.
Japo mtu kama Trump akipata two terms basi Dems wafute chama hakina maana. He is beatable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…